WanaJF nimejiuliza maswali mengi sana yasiyokuwa na majibu. Inakuwaje Rostam na uwezo wote alionao lakini bado anapigana kuwa mbunge wa IGUNGA, wananchi wa IGUNGA wamenufaika na nini kwa rostam...
Unaposema kuwa lengo ni kuwa na spika mwanamke yaani unaangalia jinsia badala ya sifa na uwezo wa mtu, huu si ndio ubaguzi wa kijinsia ccm ikijifanya kuhupiga vita kila siku??? Je kesho akitokea...
Tunasoma maandiko matakatifu kitabu cha Waamuzi habari za Samsoni alivyotoa siri ya asili ya nguvu zake kwa mke wake mfilisti [Palestine] mrembo Delila.Delila alitumia udhaifu wa Samsoni hadi...
Kati ya mambo ambayo yamenichafua roho katika mwezi huu ni haya mambo ya uchaguzi. Awali sikutaka hata kwenda kupiga kura nikiamini kuwa kufanya hivyo ni kupoteza muda wangu, sijui ni roho gani...
Bi. Anna Makinda.
Bi. Anna Makinda (Pichani) amechaguliwa na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi kwa kura 211 kwa ajili ya kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waliobwagwa...
WWW.UADILIFU.BLOGSPOT.COM
Wakati natafuta tafuta Blog za Kudumisha maadili nimekutana na hii blogu Mpya www.uadilifu.blogspot.com Imenivutia kwa makala zake zenye nia ya kujenga kizazi chema...
Makamba asiwaone watanzania watoto wadogo. Ni kweli kwamba tangu uhuru mihimili hii mitatu yaani Bunge ,Serikali na Mahakama hazijawahi ongozwa na mwana mama. Kwa lengo jema hilohilo aliloonyesha...
Kwa nini rais anaapishwa Tanzania?
Miye naona ni kupoteza wakati tu, na ni kutekeleza 'routine' tu. Maana ya kiapo ni kuwa pindi rais anapokiuka hicho alichokiapa, mahakama itakuwa na dalili. Pia...
Wanajamvi-
After what has been a hard-fought election (somewhat riggid) ever to happen in Mainland Tanzania. Many were left wondering if Tanzania will ever be the same again. It is interesting to...
Hivi mafisadi waliliona hili kuwa bado maamuzi ya Sitta pale kanuni zikibaki bubu zitatumiwa na anayemfuatia?
2
-(1) Bila ya kuathiri masharti ya Katiba, Kanuni hizi zitatumika kwa
mambo yote...
Hivi mafisadi waliliona hili kuwa bado maamuzi ya Sitta pale kanuni zilibaki bubu zitatumiwa na anayemfuatia?
2-(1) Bila ya kuathiri masharti ya Katiba, Kanuni hizi zitatumika kwa
mambo yote...
Diwan wa viti maalumu ccm wilayan kilosa mkoa wa morogoro anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukamatwa na pikipiki ya wizi
kamanda polisii alisema diwan huyo alikamatwa nov 9 asbh huko wilaya ya...
1.Spika atakayelinda maslahi ya mafisadi.
2.Spika ambaye hataruhusu mijadala aina ya richmond,epa,meremeta,tangold,mikataba mibovu ya madini,vitalu vya wanyamapori n.k.....
3.Spika ambaye yuko...
Waziri Sitta amekamatwa kwa tuhuma ya kutaka kutoa rushwa na TAKUKURU mkoani Tabora. Sitta amekamatwa na fedha zaidi ya millioni moja na bahasha za kaki 140 na simu za mkononi aina ya Nokia. Sitta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.