Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Chama Hakijui Kimeshinda Huko Zanzibar na Wanafikiri Wamependelewa Ushindi Huo. Fikra za Maskini Ndizo Zinaisumbua CUF na Watanzania Tumeshagundua Wamenunuliwa na CCM. Upinzani Atuhitaji CUF na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Badala ya CCm kuwadhibiti na kuwaua watu wao maarufu kisisasa nadhani ilikuwa bora kujijengea sifa kwa wannchi kwa kuwapunguzia ugumu wa maisha, kupunguza ufisadi na kusimamia fedha zinazopelekwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani ebu tujadili kidogo, hivi kweli rais aliyechaguliwa na wananchi milioni 5 miongoni mwa wananchi milioni zaidi ya 45 anawezaje kutembea kifua mbele!!!! Kwa binadamu mwenye akili timamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CCM - 20,470 CHADEMA - 8,056 CUF - 5,833 (Wamepata kata ya Nzega mjini ambapo Dr. Slaa kaongoza kura za urais)
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Kitendo cha Kamati Kuu ya CCM chini ya uenyekiti wa Dokta (asiye na PhD) Jakaya Kikwete kupitisha majina matatu ya wanawake pekee na kulazimisha Spika ajaye awe mwanamke kwa kutumia wingi za kura...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanajamii, Ni ukweli usio fichika kuwa CCM haikutegemea kilichotokea October 30.Kwa mtazamo wangu CCM walipata kura chache sana ukilinganisha na matokeo yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi.Ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibuni kwenye blogu ya marafiki wa chadema Gonga Marafiki wa chadema - Friends of Chadema wale wote wenye mapenzi na chama hichi wanaopenda kuchangia maendeleo yake , kutupa habari picha na vitu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mara baada ya uchaguzi mkuu, Chama cha Demokrasia na maendeleo kimeibuka kuwa ndio chama kikuu cha upinzani nchini. Juhudi za viongozi wa CHAMA hicho si za kubezwa. Kiuhalisia viongozi hawa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimevutiwa na hoja ya Makamba kwamba safari hii kamati kuu ya CCM iliona ni vyema kupitisha mwanamke kwenye nafasi ya uspika sababu ni wakati wao na kwa kuwa tangu uhuru hatujawahi kuwa na spika...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sitoshangaa kabisa akishinda nafasi ya Uspika, Msijedhani ameshinda kwa nguvu ya Upinzani kumuunga mkono... asilani, (inasemekana ni kada maarufu sana wa naniliu...):cool: hivyo basi wenzake ati...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
ni joseph selasini wa rombo. lengo lilikuwa kujiepusha na lawama za kumbeba mramba mwenye kesi ya ufisadi. mramba alikuwa mshindi halali wa jimbo la rombo huko vunjo nako mshindi halisi alikuwa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Bosi Takukuru atakiwa ajiuzulu MBUNGE mteule wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amesema hatua ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kumsafisha Mwanasheria Mkuu wa zamani wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni taasisi ambayo nathubutu kusema inaiangusha serikali machoni pa watawaliwa na inawalinda vigogo ambao enzi za mwalimu tengewaita wahujumu uchumi machoni pa sheria za nchi. Ili waponde nchi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mkapa kalewa au kapotoka? Na Mwandishi Maalum - Imechapwa 03 November 2010 Tafakuri RAIS mstaafu Benjamin Mkapa si mtu anayependa kusema au kuhojiwa, lakini pale anapofanya hivyo huzua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kusema kweli nimetafakari sana nimeona bila hatua za makusudi za kunusulu maendeleo ya jimbo langu la Kongwa wananchi wataendelea kurudi nyuma wakati maeneo mengine wanasonga mbele kwa kasi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I have a question which is troubling my sincere thoughts! Our country established a law to control and monitor campaign expenses by the parties, presidential, mpship, and councilor candidates and...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
naona watu wanalalamika sana hapa jamvini eti Chadema waungane na CUF, naomba nitajiwe wabunge watano wa cuf wanaotaka kuungana na chadema...... Kwangu mimi huu ni muda muafaka kabisa kwa chadema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya kugaragazwa na Mchungaji pale Iringa mjini, nilitarajia Sisiem walipe fadhila kwa huyu mama angalau kwa kumpa kale ka-ubunge ka viti maalum kama walivyopewa akina mama wa Demokrasia...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Wadau kuna jamaa kanihabarisha kuwa leo asubuhi Mh. Dr. Slaa alionekana akipokewa na RSO wa ubalozi wa Marekani pale ubalozini. Bado hajafahamu nini kilizungumzwa katika mkutano huo. Mwenye...
0 Reactions
119 Replies
12K Views
Back
Top Bottom