Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika: 1. Anna Makinda 2. Anna Abdallah 3. Kate Kamba Kwa hivyo Mzee wa Vijisenti out, Sitta out!!! Source: Channel 10 News Bulletin 3...
0 Reactions
383 Replies
30K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba anasema "tangu uhuru mihimili yote mitatu ya dola imeshikiliwa na wanaume sasa imefika kwa wanawake kupewa nafasi ya kuongoza mmoja wa mihimili hiyo yani bunge"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi Mbowe na Zitto kukubali kuwa viongozi wa upinzani bungeni, na Marando kuwania uspika ina maana wao wameyakubali matokeo ya uchaguzi mkuu tofauti na madai ya katibu wao mkuu ambaye ndiye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mheshimiwa Joseph Mbilinyi ameainisha baadhi ya mambo muhimu ambayo atayapigania akiwa bungeni ikiwemo: Kutumikia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa heshima ambayo Dr. Slaa imejijengea katika taifa letu na hata kwa wabunge wa Chadema na CCM kuna uwezekanno mkubwa kuwa Chadema watatoa spika wa bunge mwaka huu. Dr. Slaa anao mtandao mpana...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Katika hali isiyo ya kawaida watanzania wengi wenye elimu ya kupambanua mambo kiupana amabao wengi wao wamepiga kura na kumchagua kiongozi wanayemtaka ambaye kama tukifuta taratibu zote za...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
Wanawake na maendeleo!
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Tunashughulikia afya ya Ngulume’ Send to a friend Thursday, 11 November 2010 20:23 0diggsdigg Raymond Kaminyoge WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii, imesema tatizo la ugonjwa wa aliyekuwa Mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzee wetu ndesa kaa nao mbali hao watakupiga fatwa mzee
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii picha ya kamati kuu ya chadema imenishtua kidogo baada ya kuona picha ya rais kikwete ikiwa imetundikwa ukutani na chini ya picha hiyo ya rais wamekaa viongozi wa chadema ktk mkutano wao huko...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo katika gazeti la Mwananchi kuna picha ya Pinda na ameandikwa kuwa ni waziri Mkuu. sasa swali langu ni kuwa yeye ni waziri mkuu wa awamu ipi? Iliyopita au ijayo? Cha kushangaza ni kuwa baraza...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
TUNAWEZA kabisa kuandika, kuwa safari ngumu ya kisiasa kuelekea 2015 inaanza rasmi leo kule Dodoma. Na hatma ya safari, kama ni njema au mbaya hutegemea na mguu wa kuanzia safari hiyo...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Mahojiano makali sasa hivi yanendelea STAR TV kati ya ZItto kabwe na Aden Rage........baadhi ya mambo yanayoongelewa ni pamoja na namna ya kushirikiana kuendeleza barabara za mawasiliano za Kigoma...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hebu ona hii habari inayozunguka Yahoo kuhusu matokeo ya uchaguzi. Haingii akilini kwa kweli.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi namfahamu kwa karibu sana Maggidi Mjengwa, kiukweli kabisa yeye si mtu anayeweza kununuliwa kiurahisi. Nimefanya kazi naye kwenye sehemu mbalimbali za tasnia ya habari na ujenzi wa...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
"Tanzania's CCM party drops graft-fighting speaker 11 Nov 2010 14:33:03 GMT Source: Reuters <div style="font-size: 13px;" id="resizeableText">
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naomba nianze na huyu ,ila naomba wabunge mliochaguliwa msikubali kuwa watumwa kama mashetani walioondoka , 1)anna makinda
0 Reactions
19 Replies
2K Views
CCM Kweli Haina Sera. Haina Hoja. Haina Uongozi. Haina Support. Haikubaliki na Wananchi. Hivi Karibuni Wamechukua Uongozi kwa Mabavu. Wiki Hii Wanamweka Mwanamke Kama Spika. Hii ni Dharau kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine tena mtandao wa mafisadi umejipanga. Tena umejipanga kweli. Wanakuja na Spika wao wa kupika. Wanakuja na "Minority Opposition". Haya tunayaona kwa sababu yanafanyika mchana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mazungumzo yanaendelea kumuomba lowasa akubali kujiunga na baraza la mawaziri lakini kwa sasa katika nafasi ya uwaziri wa kawaida na si uwaziri mkuu. kwa mwelekeo wake inaonekana yeye...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom