Dear Dr.Slaa
Natumaini haujambo na pole udharimu wa CCM dhidi ya kura zako na wagombea ubunge wabunge wa chadema.Mimi nimesikitika sana na matukio ya kifisadi yaliyofanywa na CCM na wagombea...
Yule Mwanasiasa machachari wa mageuzi Mpiganaji Mabere Nyaucho Marando, amechukua form ya kugombea Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano kupitia CHADEMA.
Pamoja na yeye kuna vijana wengine kama...
We have plenty of Confidence in this country, but we are a little short of good men to place our Confidence in". Will Makinda make it as a next Tanzania Speaker of the parliament?
i hope jazba...
Katika ukurasa wake wa Facebook, Zitto ameeleza kuwa sekretariet ya CHADEMA imeamua kutumia Westminster system katika kumpata kiongozi wa upinzani bungeni.
Kama wametumia Westminster system kuna...
jina halisi J.J.
nimejiunga chadema mwaka 2004 baada ya kukaa na kadi yangu ya NCCR Mageuzi kwa takribani miaka 10 ivi.......
nimekaa kando kwa muda murefu sana kuwasiliza wenzangu, lkn kwa sasa...
Uchaguzi umekwisha lakini yaelekea maumivu ndiyo kwanza yanaanza kusikika kwa wapiga debe wa CCM jijini mwanza ambao waliahidiwa kila mmoja Tshs 50, 000/= kwa kazi nzuri ya kuimba na kuhudhuria...
Njaa ni kitu kibaya yaweza kumfanya mtu uliyemwamini kwa siku nyingi akatenda jambo ambalo utashindwa kuliamini. Hebu fikiria mtu ameshinda urais znz na anafahamu kuwa kashinda lakini anaambiwa...
KUFUATIA TAARIFA YA SFO KUHUSIANA NA ISSUE YA RADAR KUWA UCHUNGUZI UNAENDELEA NA HAKUNA CONCLUSION ILIYOFIKIWA HUU NDIO NDIO INABIDI UWE MSUMARI WA MWISHO KWA JENEZA LA HOSEA. JK AKIENDELEA...
TANESCO likiwa moja ya makampuni machache ambayo bado serikali inayamiliki kwa njia moja au nyingine.
Kampuni hii ilitakiwa ijiendeshe kwa faida sana ukizingatia ime-monopolize hii huduma ya...
Nilishawahi kumsikia Bwana Sita akijitapa kuwa yeye ni Chuma Cha Pua. Alikuwa akihojiwa na kituo kimoja cha redio.
Sasa mafisadi wamemfanyizia.
Ninamuomba bwana Sita aoneshe uzalendo wake kwa...
Sikujua kama mtaipokea negatively idea ya kufungua akaunti kwa ajili ya dr. Slaa!hakika sikuwa na lengo baya, kilichonisukuma kuleta wazo hili ni kutokana na watu kudai kuwa dr. Anaweza kuona kama...
Kama kuna mtu anaejuta dunian ni mama batilda buriani
wakati zitto kabwe akiwa ameshatoa alioyatoa huyu mama akaamkaa na kuomba
sheria ifwate kijana ahukumiwe kweli jamaa letu likaingia line mara...
Tanzania's CCM party drops graft-fighting speaker
Thu Nov 11, 2010
* CCM says party wants female speaker
* Sitta had encouraged graft debate in parliament
* Seen as thorn in the side of CCM...
Salaam wanabodi,
Uchaguzi wa marudio katika majimbo 7 yaliyobakia unafanyika Jumapili hii, ambapo Chadema iko kwenye hatihati ya kulipoteza jimbo la Mpanda Kati kwa CCM, wakati CUF itajivunia...
Anne Kilango alipewa nishani ya heshima ya Martin Luther King na serikali ya Marekani kwa michango yake ya kuboresha utawala bora hapa nchini...............na mara tu alipoipata hiyo nishani...
Jamani wana jf tunaomba mwenye taarifa ya mwenyekiti wa chadema iringa mjini ndg kapwani aliyeuza jimbo kwa lukuvi azianike kwani kuna tetesi kuwa amepalalyize baada ya kusikia chadema imechukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.