Wakuu sio mbaya tukawataja wana JF waliogombea nafasi mbalimbali na matokeo yao ili tujue ni namna gani hili jukwaa letu limeshiriki katika kutoa wawakilishi.
Naanza:
1.Dr W.P.Slaa-aligombea Urais...
"I cannot accept your canon that we are to judge Pope and King unlike other men with a favourable presumption that they did no wrong. If there is any presumption, it is the other way, against the...
Kwa kuwa Mgombea wa Urais kupitia Chadema hajakubaliana na matokeo ya Urais na hajamtambua Rais Kikwete,je wabunge wa Chadema watahudhuria hotuba yake?
WanaJF nimeshangazwa sana na kikao cha leo ndani ya Bunge la 10 ambapo mh.Ana Abdallah alikuwa mwenyekiti.
Hapa Mabere Marando alikuwa anaomba kura za wabunge zitoshe kuwa Spika ila Mh.Ole...
BRITISH government has congratulated the people of Tanzania for having peaceful multi-party general elections.
In a press statement issued on Thursday, the British Foreign Office Minister for...
Huu ni UPUUZI, Watanzania tuko Million 45.
Waliojiandikisha kupiga kura eti ni Million 19
Waliopiga kura ni Million 8
Walio mchagua rais ni million 5
swali, Je Million 11 kwanini hawakupiga kura...
Inafurahisha kuona jinsi wabunge wote wakiwemo wa upinzani wanavyoapa mbele ya Spika wao Anna Makinda.
Miongoni mwa maneno ya kufurahisha katika kiapo chao ni:
'Nitaihifadhi, Nitailinda na...
PARIS
A court Tuesday authorised judges to probe corruption charges against three African heads of state accused of using state funds to buy cars and apartments in France worth tens of millions...
Wanajanvi naleta Mada hii mnisaidie niweze kuelewa hili! Hivi Marekani na Uengereza zinapofanya chaguzi zao kwanini haziombi kupelekewa waangalizi wa kimataifa kutoka kama Africa au Asia! Lakini...
Please people in the know, does anyone have news or feedback of what happened to this issues
Ile issue ya vyoo vya shimo kwenye kata tano 3.2 billion, je wameshafatilia, je muusika...
Huwezi kuwako kwenye serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar mkaongoza wote kutekeleza ILANI ya CCM ya Uchaguzi halafu ukaja kwenye Bunge la muungano ukapinga. Kwa hiyo "technically" CUF sio...
Napenda kutoa taarifa rasmi kwamba nimeanza mchakato wa KULIKOMBOA Jimbo la Uchaguzi la Kinondoni mwaka 2015. Hii inatokana na ukweli kwamba, Jimbo la Kinondoni ni mojawapo ya majimbo ambayo ni...
Candidate Yoweri Museveni is free to enjoy the privileges enjoyed by a sitting a president as he campaigns for a fourth elective term in office after MPs yesterday adopted a government motion to...
Tunahitaji Rais mpya, Tumaini Jipya na akili mpya na ni kweli kabisa kipindi hiki ndio cha kufanya mageuzi ya uongozi, tumewajaribu na sasa wameshindwa kuna kila sababu ya kufanya mabadiliko
Anayetaka kuwaamini ccm katija jambo lolote ni juha. Kura zote za ccm zimeenda kwake na marando kapata zote cdm na chache za wana cuf walioasi maelekezo ya wakubwa wao.cdm jueni kuwa mko peke yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.