Habari za uhakika kutoka Urambo zinasema kuwa baada ya Sitta kutoswa uspika, aliekuwa diwani wa urambo mjini(CCM) ndg Ali Mwiniko amefanya sherehe kubwa jana kufurahia anguko la bwana Sitta...
Thursday, 11 November 2010 18:54 0diggsdigg
Dismas Lyassa
MWANZONI mwa wiki hii, gazeti hili liliripoti kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbalali, Mkoani Mbeya Hawa Ngulume, ni mgonjwa na...
Please for those in the know, Hapa kuna Kesi ya kuchakachua kwahiyo kesi ikifunguliwa je atasimama mbunge mwingine wa Chadema au kesi haitafunguliwa tena, na ikifunguliwa akashinda can someone...
tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2010
REGIONAL # OF VOTERS VOTERS TO VOTE KIKWETE LIPUMBASLAARUNGWEPETERMUGAHYWA TOTAL WINNER BY REGIONAL 20,445,725.00 13,289,721.25...
Wakuu habari za uhakika kutoka mahakama kuu ya Tanzania ( The High Court of Tanzania) ni kwamba aliekua mgombea wa ubunge jimbo la Segerea bwana Fredrick Mpendazoe amefungua case rasmi ikiomba...
Huenda tukawa na kambi mbili za upizani katika Bunge moja.Hili limetokana na uovu wa Chadema wa kutotaka kushirikisha chama kingine katika kambi yao tofauti na CUF wakati ilipokuwa ikiongoza kambi...
Miaka imekwenda na miezi haigandi tangu Mchungaji Christopher Mtikila alipoleta hoja ya kuwa na Serikali ya Tanganyika. Bungeni ikajadiliwa na kuzaliwa kundi ya G50. Kundi hili lilisakamwa na...
wana JF, naomba maoni yenu juu ya huu muungano. zanzibar wamejitangaza ni nchi, kama ni hivyo vipi wabunge kutoka nchi nyingine waje kuwakilisha tena kwenye bunge letu la bara mantiki yake ni...
Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) ameachwa katika uteuzi wa wabunge wa viti maalumu licha ya kuomba huku makamu wake, katibu mkuu wake, naibu katibu...
Wengi twamfahamu Katibu mkuu wa SISIEM anayesadikiwa kuwa na "mdomo mchafu" kuliko wote ambao wamepata kushika wadhifa huo. Wadau wengi baadhi wakiwa wanachama hai wa mapinduzi wanamshutumu kuwa...
Uamuzi wa CCM kuwaengua wagombea wa jinsia ya kiume katika kinyang'anyiro cha uspika kwa kisingizio cha kujali jinsia ya kike unaonyesha wazi jinsi utawala wa kikomunisti ulivyo mbaya. Kwa maamuzi...
Hata, Police wakininyima Kibali, maana naona Kova hakubali kutoa kibali cha kuandamana, wakati ni haki yangu kwani ni ya amani, nitaandamana peke yangu na bango langu kubwa la kupinga matokeo ya...
President Jose Manuel Barroso of the European Commission has congratulated President Jakaya Kikwete on his reelection as President of the United Republic of Tanzania.
In his message, President...
wana kaya kuna tetesi katika pita pita yangu kuwa mkuu wa kaya anataka kumpatia mh. 6 uwaziri fulani ilikumpoza na machungu ya kukosa nafasi ya kugombea uspika wa JMT kwa tiketi ya ccm.
Spika ndo huyo, SS EM wanaanda mpango wa 2015 kwa wateule wao wenye uchu wa madaraka hata kwa kudhani wa TZ ni mafara wa karne hii.Wabunge CHADEMA hakuna kulaza damu,wasomi kibao,uwezo wa kujenga...
Tazameni ndugu zangu,
Huko CCM palikuwa na watu wachache waliokuwa ni watetezi wa watu. Mmojawapo niliyemwona akifanya hiyo kazi pamoja alikuwa bado kwenye chama cha mafisadi alikuwa mheshimiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.