http://www.mwanahalisi.co.tz/mkapa_kalewa_au_kapotoka-
Imechapwa 03 November 2010
RAIS mstaafu Benjamin Mkapa si mtu anayependa kusema au kuhojiwa, lakini pale anapofanya hivyo huzua kasheshe...
Dr. Slaa anahojiwa na tbc taifa kuhusu kupitishwa kwa anna makinda.
Maoni yake ni haya;
Mtangazaji: Unaonaje kupitishwa kwa anna kama spika wa bunge la jamhuri?
Dr. Slaa: Anna makinda anafaa kuwa...
Mh. Chenge aligombea uspika kwa maelekezo mahsusi ya kuzima vuguvugu la kupinga matokeo ya uchaguzi lililokuwa linaletwa na Chadema. Na katika hili kwa kweli walifanikiwa sana coz waTZ wote tuli...
Mod naomba uvumilie maana najua kuna vichwa maji wataijadili hii mada kwa mlengo wa ukabila. Lengo langu kujadili fumbo la haya makabila matatu kuonekana ni hatari kuongoza nchi hii,ni kuondoa...
Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter...
Bunge la Tanzania limegawanyika hivi
From http://www.parliament.go.tz/bunge/aboutus.php?cat=2&subcat=4
1. Members elected from the same number of constituencies. 232
2. Special seats women...
jk is one of ma best politicians ever been in tanzania,prezo comrade R mugabe alikuwa na lengo zuri for the sake of his country lakini wajanja wachache wakamuwahi ukichanganya na private life...
Uchaguzi ulipomalizika na matokeo kutangazwa wapendamaendeleo wote tulipata hamasa baada ya kuona hatua kubwa iliyopigwa na vyama vya upinzani kwa kuweza kufumbua macho ya Watanzania mjini na...
Kwa kuzingatia idadi ya wabunge wa CCM ndani ya bunge letu, ni dhahiri kila mtu alitegemea Mh Ana Makinda angeshinda kirahisi kabisa katika kinyanganyiro cha Uspika. Pamoja na matarajio hayo...
Hivi ni kwa nini Watanzania wanaoishi nje ya nchi hawapati haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu kama huu uliopita kama zinavyofanya nchi nyingine?
Hebu tujiulize sakata la Mhe. Samweli Sitta na jinsi CC ya CCM ilivyojikanyaga hapo................Sasa tuna ushahidi ya kuwa CC ilikuwa na donge zito dhidi ya Mhe. Sitta na kauli za Makamba...
ZIKIWA zimebakia siku mbili kabla ya kufanyika uchaguzi wa ubunge katika majimbo ya Mpanda Mjini na Vijijini, mawakala 22 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wameshindwa kuapishwa...
Miaka 15 ya mfumo wa vyama vingi Tanzania. Mengi tumeyaona, lakini yaliyotokea juzi na jana kule Dodoma yamenipa funzo kubwa kwamba upinzani Tanzania umejaa waganga njaa na wanafiki wanaoweza...
Mbunge anayetoka zanzibar anaingia kwenye bunge la jamhuri ya muungano kujadili mambo yanayo husu muungano tu? na kama ndivyo inapofika kwenye masuala ya Tanzania bara kuna mpaka gani unaowazuia...
Nawaomba wana JF tuwapepongeze hawa wananchi kwa sababu zifuatazo:
1. Wameweza kuwaondoa mafusadi/wanaowaunga mkono katika maeneo yao.
2. Wameweza kulinda kura zao hadi kuhakikisha matokeo...
Naomba kupata ufafanuzi hapa. Hivi kwanini Seif aliapishwa na Shein? Je inawezekana shein akamfukuza umakamu Seif? Hicho cheo cha seif kinampa wajibu gani katika serikali (SMZ)? na katika SMT seif...
Wakuu niliwambieni hapa week iliyopita kwamba SITTA HATAPITISHWA NA CC YA CCM. hizo habari sikutabiri zilikua za kweli mana ni kutoka kwa mkuu mmoja wa ndani ya chama chao.
Leo tena nimepata...
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, inatarajia kuunda baraza la mawaziri lenye wizara 14 ambazo zitagawanywa baina ya CCM na CUF kwa uwiano wa asilimia ya idadi wa wawakilishi katika Baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.