Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Neno chakachua leo hii linajulikana kama njia ya Kikwete na CCM kujipatia idadi ya kura rasmi za NEC zaidi ya kura halisi walizopigiwa na wapiga kura. Lakini hasa asili ya neno Chakachua ni nini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimethibitishiwa na mtu mzito aliyepo Kilombero kuwa CCM walitaka kumhonga aliyekuwa mgombea mbunge wa Jimbo la Kilombero, Regia Mtema, Shilingi milioni 200 ili akubali matokeo bandia ya kura za...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Ni rais ndani ya nchi yenye amiri jeshi mwingine, Hana jeshi, Hana nchi kwa maana ya ardhi, eneo la JMT ni pamoja na visiwa vya Zanzibar na Pemba, Hana mamlaka kwa wananchi wake mamlaka yake ni ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Wajameni mie nashangaa hawa wenzetu wenye kuongelea muungano wa vyama vya upinzani katika chaguzi na kuishi maisha ya usaliti; Je, watafanya hivi mpaka lini? Hebu tujiulize CUF wanasema ati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waheshimiwa, Kesi ya Zitto Kabwe mwaka juzi ilileta ubishi pale aliposimamishwa kwa kanuni za bunge. Pamoja kwamba tulibishana nchi nzima lakini Anna Makinda kama naibu spika alitetea kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. conduct or activity that playfully causes petty annoyance. 2. a tendency or disposition to tease, vex, or annoy. 3. a vexatious or annoying action. 4. harm or trouble, esp. as a result of an...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hii wadau nimelisema mahali Kama comment. Binafsi nahisi inaweza kuwa kwa sababu moja kuu: Kitendo cha kuwa na makamu wawili kwa zanzibar ni very strategic kwa ccm maana kwa bahati mbaya shein...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Cuf sasa ni kama lap top ya ccm bungeni itakayotumika kupitishia hoja zake mbofu mbofu juu ya mstakabari wa taifa, kwa kweli cuf sasa hawawezi kupindua mbele ya ccm ambayo ni kama mume wa cuf kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NIMEMUONA MAALIM NDANI YA BENZ 2 NA V8 ULINZI MKALI ALIPOTEMBELEA OFISI ZA CUF UNGUJA.AMEAHIDI KULETA PIA SERIKALI YA SHIRIKISHO BARA KAMA ILIVYO ZENJ SASA!source ITV
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa kweli hatua ya kumchagua Anna Makinda hivi (hongera sana) karibuni yanikumbusha namna hadhi ya Bunge na ya lugha ya kitaifa kitakavyokuwa kitaboreka ikiwa tungeachilia mbali desturi ya kutumia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Makinda ashangaa mafisadi kusafishwa na Godfrey God, Iringa Tanzania Daima~Sauti ya Watu NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anna Makinda amewakoromea baadhi ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa najiuliza, kwa nini tume ya uchaguzi isiandaliwe kikatiba mazingira huru kutoka vyombo vyovyote vya serikali, yaani serikali inatenga bajeti nayo tume anajipanga kwa kutanua elimu ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je huyu mama kapitishwa na ccm kwa kuwa ni mbabe na dikteta kama alivyosema kwenye hotuba yake au kuna sababu nyingine zaidi ya hii?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
HEADS of State have continued to send congratulatory messages to President Jakaya Kikwete for being re-elected in the just held general elections. A statement issued on Saturday by the...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Mapema leo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Samuel Sitta amemuomba radhi Naibu wake kwa kutumia neno "kukurupuka" alipomtaka asiongoze mjadala muhimu wakati alipotaka kwenda Marekani.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Natoa wito CHADEMA ikae imara na mabilioni ya mafisadi. Mafisadi wanaweza kuanza mpango wa kuivuruga chadema ili 2015 wasipate shida.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF, itakumbukwa kauli za baadhi ya viongozi wa ccm ni ile iliyobainisha kuwa chama hicho kilikuwa na mtaji wa kura milion4 za wanachama wake kabla ya uchaguzi mkuu 2010. Pamoja na yote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Marando got votes from CHADEMA, NCCR-M and few CCM MPs. CUF voted for a CCM candidate as a block... Source: Zitto Kabwe's facebook's status
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Due to sympathy votes and all that, lakini sababu ya ufisadi na mengineyo najua hawawezi kumtumia hopefully atajoin upinzani
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom