Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
hapa chini nimeweka tu baadhi ya maadili ambayo viongozi wetu hawa tunaowaita mafisadi wame kiuka na sasa tu na waona kwenye Bunge jipya huku Raisi wao akijidai kuwa safisha mpaka Mmoja wao ambaye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
President Kikwete in deep meditation in this file photo when he toured the Tanzania Ports Authority last year. Following the recent outcome of this year`s general election, President Kikwete has a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wa JF ambao mnelewa mtueleweshe hivi huyu Balozi SEIF ambae ni makamu wa pili wa rais wa Zanzibar yeye ni mbunge wa bunge lipi?? maana ameteuliwa kuwa mbunge wa baraza la wawakilishi na tena...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wenye nyumba hamjambo??? Mwenzenu mie ndo kwanza nawasili hapa Ubungo nikitokea zangu Ku-Mafinga. Kwenu nimeleta salaam na ujumbe toka Jimboni kwangu Kinyanambo C Mkoani Iringa. Basi letu la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SEHEMU YA 1: MARANDO AKIOMBA KURA SEHEMU YA 2: KUPIGA KURA SEHEMU YA 3: KUTANGAZWA MSHINDI ENJOY
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uhasama wa kale warejea baada ya uchaguzi Na Saed Kubenea - Imechapwa 10...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndivyo historia inavyoonyesha,kwamba kwingineko kote palipotokea mabadiliko ya utawala,hawakwenda zaidi ya miaka 50...Ghana,Kenya,Zambia,Malawi...you name it!Nafasi tumeipoteza 2010,sasa tusubiri...
0 Reactions
2 Replies
986 Views
Wanabodi, Katika bandiko hili naomba niongelee vyama vya kitaifa especially the big 3. Nikimaanisha CHADEMA, CCM na CUF? Zanzibar: Kama kigezo kingekuwa chama cha kitaifa lazima kiwe kile...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naomba waliopo kwenye maeneo kulikofanyika chaguzi ndogo zilizoahirishwa oct 31 mfano mpanda mjini watupe hali ilivyoenda,naamini vituo vimeshafungwa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nakumbuka Rais Obama aliapishwa mara mbili kwa sababu alikosea kiapo chake kwa sababu ya kuweka neno "faithfully" mahali ambapo si pake! Kiapo chake kilikuwa kama ifuatavyo: ROBERTS: I, Barack...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mawaziri wote na ndiye Kiraanja Mkuu wa Kazi za kila siku za serikali, hivyo anapaswa awe: 1. Mkali, asiyeonea na ambaye haonei mtu, watu, taasisi, nk, 2. Asiwe fisadi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Duuh.. kama ndivyo hivi, basi kila mmoja wetu walau apate kuwa Rais mara moja maishani.....!! Kwa kweli mafao haya na marupurupu yote ni kama kufuru vile...haswa ukizingatia hali ya kiuchumi ya...
0 Reactions
193 Replies
34K Views
THE NRM 2011 presidential candidate, Yoweri Museveni, has promised free education for A’level students starting next year. Museveni made the promise at different rallies in Lango sub-region...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Toka kumalizika kwa zoezi la uchaguzi na kutangazwa matokeo ya Udiwani, Ubunge na Urais, namchukia sana Kikwete. Sipendi na wala sitaki hata kuona picha yake, wala kusikia habari zake mahali...
0 Reactions
108 Replies
10K Views
Wakati tukilisubiri baraza jipya la mawaziri, sio vibaya kuwazungumzia waliokuwa mawaziri katika baraza lililopita lakini hawatarudishwa kwenye baraza jipya.<br /> Hawa ni wale waliokuwa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Mwanzo wa Anna Makinda katika nafasi ya Uspika unaonyesha kuwa hakufaa kuwa Spika. Kama hawezi kusoma na kuzielewa kumbukumbu sahihi za bunge ni sababu tosha ya kumfanya asifae kuwa Spika wa bunge...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
bila shaka wananchi wataniunga mkono
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu Wana JF, Napenda kutoa changamoto kwa chama chetu cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na sisi wapenda mageuzi wote, Ni dhahiri kuwa uchaguzi umekwisha na chama cha Demokrasia na maendeleo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimepitia gazeti la nipashe nimekutana na hii ishu.wana jamii ikiwa ni kweli tunakwena wapi!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Multiparty democracy was designed to install a popular regime to govern and lead a nation towards societal acceptable destiny……….. However, when an election is perceived to have been stolen...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom