Naomba maoni yenu wana JF kwa hili kwani ilikuwa tetesi kuwa Sitta hatakuwa spika na imekuwa.Je haiwezi kuwa Lowassa anataka Urais na akawa?Ebu angalieni njia aliyoitumia Chenge kumshambulia...
MWANACHAMA wa Chadema aliyekuwa akiwania Ubunge katika Jimbo la Segerea, jijini Dar es Salaam, Fred Mpendazoe, amelitabiria taifa kuingia katika utumwa kama kikundi cha watu wa chache kitaendelea...
Nikiwa mfuasi wa chama cha upinzani, nimefurahi kupata viti vingi vya ubunge uchaguzi wa mwaka huu. Pamoja na uwingi huo wa wabunge wa upinzani ukiringanisha na ccm bado wanatuzidi sana, maana...
Ndugu wana JF, kuhamishwa kwa Mkuu wa Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Godfrey Nzowa, kwenda ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Charles...
Sitta ampa changamoto Makinda Send to a friend Saturday, 13 November 2010 00:30 0diggsdigg
Spika mpya wa Bunge, Anna Makinda akiongozwa na Askari wa bunge kuingia bungeni mjini Dodoma jana...
Katik vitu ambavyo mimi vinanifanya nimuone Kikwete ni Mbumbumbu wa kufikiri, ni kung'ang'ani kuwapa Wanawake Nafasi nyeti Selikalini,, jamani Si vibaya lakini Hii nchi ni nchi inayo chuchumia ki...
Nani alishinda Zanzibar ni CCM au CUF?
Padri Privatus Karugendo
KWA wanafiki na wenye uchu wa madaraka hili linaweza kuchukuliwa kama swali la uchochezi, swali la kutaka kuvuruga amani na...
Jamani naomba kupata taarifa kuhusu uchaguzi wa naibu spika wa bunge la jamuhuri wa wa muungano wa TZ kashapatikana? nimepata habari kua People's Power (CHADEMA) wamemsimamisha Mustapha Akunay...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungani wa Tanzania kutoka kushoto Bi. Salome Mwambu,Mwihigulu mbunge mteule wa Iramba Mashariki na Bi.Matha Mlata mbunge viti maalumu wakitoka kwenye ukumbi wa...
It's a naked truth that, Joseph Mbilinyi aka Mr Sugu qualifys for a super role model status for all young people aspiring for greatness in Tanzania. Starting his career as an amateur rapper, Mr...
Wana mjengo wa JF naomba tutafakari kuhusu majibu ya Bwana Makamba anapoulizwa maswali na waandishi wa habari na kutoa majibu ya mkato au hata kung'aka je ni kutoelewa swali na kukwepa swali...
Mzee makamba anasema lengo la kumpendekeza mwanamke kuwa spika ni ili kuwapa wanawake nafasi kwenye uongozi wa nchi.Mimi si bishi kuwa wakinamama wanahaki ya kupewa fursa za uongozi na wao kulete...
Hakuna ubishi kuwa Spika mstaafu Sitta alifanya kazi nchi ya kukumbukwa Bungeni.Nyia iliyotumika kumuondoa inatia shaka kwani kuna watu waliofurahia kuondolewa kwake na wengine walikerwa nayo.Sasa...
Huwa nabaki kushangaa saana kwenye chama cha mapinduzi hata wakimsimika mtu mbovu bado anapita kwa kura zote ndani ya chama. Hivi wote wana mitizamo sawa au huwa wanalazimishwa kufanya hivyo...
Du ina maana hilo lichama la kijani just 5 yrs away litakuwa limejaa vibabu. Where are the young guns?????? Hebu cheki hapa chini nyumri zao by 2015.
JK - 65
Makamba - 80
Msekwa - 80
Saim...
Kumekuwa na tuhuma za uchakachuaji wa matokeo ya urais na aliyetangazwa mshindi na aliyeshindwa wote wana wafuasi wengi.Je kwa maendeleo ya nchi yetu wote wanaweza kututumikia kwa maendeleo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.