Hili swali limenijia tu baada ya kuwaza kidogo. RA ninavyomfahamu ni mtu wa karibu wa jk na wadau wengine serikalini. Kwa nyadhifa alizo nazo ndani ya chama na serikali ni mtu ambaye hapaswi...
Kuna habari zinaendelea kusambaa kama moto wa kifuu kuwa Dk Slaa amefanya/au atafanya press confeence huko Dodoma this morning. Mlioko huko hebu tuhabarisheni. Tuna hamu ya kujua anasema nini huyu...
Yule mbunge mwenye ulemavu wa ngozi tuliyemsoma wiki chache na kupongeza ushindi alioupata wa Ubunge wa Lindi Mjini, tukalaani waliombeza kutokana na alivyo, tayari ameanza kupokea vitisho vya...
The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto...
Source: Gazeti Sem Usikike, tarehe 15.11.2010
Kwamba mafisadi walisherehekea kuanguka wa Mr 6 uspika kwa kuchinja ngamia dume. Je mnyama huyu anaambatana na makafara ya...
Kujiunga na mfumo flani au chama flani chenye malengo na mwelekeo wake sio kitu Rahisi Hebu chukulia MFANO wale WALOKOLE, Au WANAJESHI, ama WANA SARAKASI Unafikiria nini ukiwaona wakitimiza amri...
Wana jamii, mimi binafsi simjui saaaana huyu jamaa, zaidi tu ya kujua kama kafisadi kanakochipikia.
Suala langu hapa ninaomba kujua elimu ya huyu mtu, ikiwezekana perfomance zake Darasani kwa kuwa...
Hii kitu nimeipata kwenye uzi uliowekwa na Maggid Mjengwa:
Kama Kikwete atafuata ushauri huu maridhawa, basi nitafuta signature yangu. Vinginevyo bora nife tu, sibadilishi mpaka tupate Rais...
Taarifa rasmi ni kwamba kutakuwa na mdahalo kati ya aliyekuwa kiongozi wa kambi ya upinzani ktk bunge lililopita, Mh. Hamad Rashid, mbunge wa Wawi, Pemba naKiongozi wa kambi ya upinzani bungeni...
CCM yadai mwaka huu ni waakinamama kufuatia uteuzi wa CC kwenye nafasi ya Uspika lakini uteuzi huo ni wa kumuenzi Mama Anne Makinda pekee kama Makinda na wala siyo wanawake kwa sababu Makinda ana...
Mbunge wa Sikonge (CCM), Said Nkumba, alidai kuwa wakati wa kampeni, Marando alikuwa akitumia lugha kali na za kashfa hivyo iwapo atachaguliwa kuwa spika atakuwa na lugha hizo hizo au...
Hivi hii imekaaje??
Uchaguzi unafanyika siku moja, kura zinahesabiwa wiki nzima lakini rais anaapishwa siku mmoja tu baada ya matokeo tena mbele ya wageni waalikwa kutoka nchi mbalimbali...
Nina nia ya dhati kabisa ya kuanzisha Tawi la chama cha CHADEMA ili kuimarisha chama from Grassroot level. Nimesukumwa kufanya hivyo kutokana na ukweli kuwa ninaishi eneo ambalo lina matawi mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.