Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nipo tayari kutaja majina ya mahafisa usalama waliohusika katika kuvuruga uchaguzi kama majina hayo yatahitajika mahakamani-dk.Slaa azungumza akiwa Dodoma
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu Jana usiku nilikuwa nikiangalia Chanel Ten, ndipo akaingia Sheikh Yahaya hussein na mambo yake, kwa kifupi mzee huyu alikuwa akimfagili JK kwa ushindi wake, alidiliki...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanajamvi, Hawa ndiyo wapiganaji wetu huko bungeni yaani wabunge wa CHADEMA na picha zao kwenye website ya bunge. Hata mimi nilikuwa siwajui wote sura zao...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Ndugu zangu, KAMWE huwezi kukausha maji yatokanayo na chemchemi kwa kumwagia mchanga. Na kuna namna mbili za mwanadamu kuula mkate, ama aukate slesi ( Slices) kwa maana ya vipande...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Educated or Enlightened? Epictetus, who lived from A.D. 55 to about A.D. 135, said, "Only the educated are 'liberated'." Admittedly, there is truth in what Epictetus said. For one thing...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Sasa hivi kila dalili zinaelekea kuonyesha kuwa watu wameshaukubali utawala mpya wa Kikwete licha ya malalamiko ya mizengwe iliyojitokeza katika zoezi la uhesabuji wa kura. Ni wachache sana ambao...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Edmund akihojiwa na Metty Nyang'oro katika kipindi cha Kombolela Show kinachorushwa na Radio Mbao anatoa tathmini ya matukio ya kampeni za kisiasa na uchaguzi wa Oktoba 31. Amegusia "strengths"...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam Jenerali, Kabla sijasema neno kuhusu mada nina angalizo kwenye kichwa cha habari cha mada iliyozaa mjadala ninaoanzisha, "Jenerali...umewaacha mashabiki wako njia panda”. Kwa mtazamo wangu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ninakiu ya ukwel naukwel huo nikusikia Sita anakuwa spika wa bunge lijalo. Huyu nikiongoz wa kwel alie leta maana ya Bunge. Uzalendo wake,umahiri wake wakufanya mambo huku akiamini kuwa kiongoz...
0 Reactions
268 Replies
23K Views
ANKAL MICHUZI: naona umekikimbia kukitoa hiki kibonzo Source:The East African:  - Understanding The Region - Comment
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inasemekana kupungua kwa thamani ya Tsh, kunakoakisiwa na kupanda kwa bei ya bidhaa siku za karibuni kumetokana na serikali kuchapisha fedha nyingi bila kujali tija ya taifa katika kipindi hiki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hehehe hapa kwa kweli Dr. Slaa umetusaliti Watanzania mbona kimya na kwa gonga hii na Mh. Pinda ina maana serikali ya JK so far umeikubali yetu macho...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Katika hili nimeamua kumfunga paka kengere,liwalo na liwe hata kama namgusa mtoto wa mpendwa Rais Jakaya Kikwete,Ridhiwan Kikwete Niseme Wazi kiwa mimi kuwa mimi ni shabiki wake damudamu...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
Salma Said, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein ameteua Baraza la Mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa lenye mawaziri 25 kutoka vyama viwili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
“Ninasema hivyo, kwa sababu hivi sasa watu wachache wenye nguvu ya fedha wanaamua mustakabali wa viongozi kwa maslahi yao binafsi,” Rais aliyechaguliwa kwa uovu, kamwe hawezi kutenda haki na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
maendeleo ya nchi huletwa kwa kuwa na mipango inayoeweka vema kwa wananchi, zaman enzi za mwalimu kulikuawa na mipango ya maendeleo ya muda mfupi na mrefu kulikuwa na dira ya elimu kwa taifa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
:thinking::sad: Nimemsikia bwana mmoja wa CUF (Khalifa Suleiman Khalifa) akihojiwa na Mhelela wa BBC leo saa tatu kasorobo usiku huu. Anasema hawawezi kuungana na CHADEMA kwa sababu hawataki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana nilipokuwa nikiangalia taarifa ya habari Startv, viongozi wa Chadema Mwenyekiti Freeman Mbowe na katibu wake Dr. Slaa walidai kutoyatambua matokeo ya uraisi yaliyotangazwa na tume ya taifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jF, leo nakuja na maoni mazito. ni wazi kila mtu anatambua na kuthamini mchango aliotoa DR.SLAA katika kuibua na kupambana na maovu mazito, ya ufisadi. ingawaji kuna baadhi ya watu mpka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom