Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kama tetesi zinazotembea taratibu zina ukweli utakuwa ni mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuleta matumaini katika wizara hii nyeti.. kwanza kwa sababu amejithibitisha kuwa ana uwezo, ni jasiri...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Hapa ndio nachoka na siasa za bongo! (Source Mwananchi)
0 Reactions
28 Replies
3K Views
After Mhe Sitta was given 60 seconds to leave JK-BigBrother House Up for nomination is Mhe Pinda. Voting is now open to save Mhe Pinda from leaving the JK-BigBrother House
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Utafiti binafsi: 98% ya watu ninaokutana nao na kuzungumza nao habari za siasa au wakiwa wanazungumza habari za siasa hueleza kutoitaka CCM na JK. hii ni pamoja na nyumbani, chuoni, hospitalini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF, Nakumbuka miaka ya nyuma i mean mwaka jana kipindi fulani huko bungeni Spika S.SITTA aliomba aongezewe ulizi kwa ajili ya usalama wake sasa kwa kamati ta CC kutompitisha kuwa spika na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tutumie Bunge na Sheria Zake Kuijenga Inchi Yetu. Tunajua CCM Watafanya Kila Njia Kuzuia Hoja kwa Kumtumia Spika Makinda Lakini Kunanjia za Kuwakamata CCM. Tutaona Sheria Walizozitunga Kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu, KATIKA kuadhimisha miaka kumi ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, CCM na miaka 20 ya Azimio la Arusha, Mwalimu Julius Nyerere alikubali kufanya mahojiano ya kipekee na ya aina...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii nimeikuta kwenye blog moja maarufu hapa nchini.Wadau kama hamjaiona itupieni macho. Mkuu wa kaya napenda kuleta malalamiko rasmi kwa serikali yetu na kuwataarifu watanzania wenzangu jinsi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutokana na chanzo kilichonitonya habari hizi kuwa ni cha idara nyeti ya serikali naomba kutoa hoja kama ifuatavyo: Katika kukurukakara za kujiandaa na uchaguzi huu wa mwaka 2010.. kuna habari...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Matokeo ya kura ya Uchaguzi wa Wabunge katika majimbo 7 yaliyoshindwa kufanya uchaguzi tarehe 31 Oktoba 2010 na hivyo kulazimika kufanya jana yametangazwa. Matokeo hayo yanaripotiwa kuwa Chama...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Diwani wa kata ya Kasense (CCM) katika halmashauri ya Manispaa ya Sumbwanga mkoani Rukwa Bw.Pius Michael Sichombo (63)amefariki dunia ghafla baada ya kuugua kwa muda mfupi ikiwa ni siku tisa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mambo mengine tunatakiwa tuyafirikie kidogo hata kama kikatiba yamekaa tu bila kuwa na mantiki yoyote lakini tunayafuata tu kishabiki. Mtakubaliana nami kuwa kama ukweli unatafutwa na kufuatwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama record zangu ziki sawasawa waheshimiwa waliomtoa Bungeni Mh. Zitto Kabwe karibu wote wameshindwa kutetea nafasi zao. Mfano John Malecela, Nazir karamagi, Batilda Burian, Ruth Msafiri na "Joka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana nilisoma katika safu hizi, barua ndefu iliyoandikwa na Jenerali Ulimwengu kwa JK. Nianze kwa kukiri kwamba barua ya aina hiyo hiyo, niliwahi kuiona katika gazeti la Rai ama mwishoni mwa mwaka...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Matokeo ya awali Mpanda Mjini Said Arfi wa Chadema anaongoza vituo 27 kati ya 28 mpaka sasa Katika vituo vingine na kura za wagombea katika mabano ni Azimio 1, Chadema (124), CCM (23), Azimio 2...
0 Reactions
218 Replies
20K Views
Jamani Tanzania naona rushwa imetapakaa sana,,,,,,,PCCB na huyo chenge wao naona wote vimeo tu..Hii inchi sijui inaenda wapi maskini...Lakini tutafika tu... N.B kama kitu kama hii ilishapostiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza kabisa napendakutoa shukrani za dhati kwa Dr.WP.Slaa kwa ushindi mnono alioupata pamoja na wabunge, na madiwani wote wa CHADEMA licha ya matokeo ya maeneo mengi kuchakachuliwa. Napenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nafikiriaaaaa.... Sipati Majibu.EL Anautaka Uraisi....JK Hana la Kupoteza Sasa....Anyone out there to predict Reward?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
i recently posted this message jamvini https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/87443-petition-to-decrease-wabunges-salaries-a-must-read-2.html I also asked for some sort of a...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale ambao macho yao yana matatizo nayaweka maandishi chini ili yasomeke kilichoandikwa: =============================================== The White House Office of...
0 Reactions
95 Replies
8K Views
Back
Top Bottom