Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimetoka kusoma thread ya Regia Mtema anasema "amerudi" kutoka Kilombero, apparently Kilombero si base yake ni sehemu ya kwenda wakati wa uchaguzi, na uchaguzi ukiisha ni muda wa "kurudi mjini"...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani mmeskia jinsi mh. Mrema anavyomfagilia JK kuwa matokeo ni ya halali na hivyo Dr Slaa hana budi kuyakubali na wapinzani wasiyabeze matokeo hayo. Anasema JK amewaacha kwa mbali wapinzani wake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ubungo.......CHADEMA kawe...........chadema iringa mjini.....chadma mbeya mjini.....chadema moshi mjini.......chadema kigoma kaskazini.....chadema tanga mjini......CUF mtwara mjini.....CUF...
0 Reactions
373 Replies
47K Views
Mgombea wa chadema aliyetarajiwa kuwa ktkt list ya wabunge wapya amelizwa na jamaa wa tume. kwa habari tokakwa muhusika ni kwamba jina lake na picha yake vilionekana kama ni mgombea wa ccm. hivyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKUU, NAULIZA KUTOKANA NA FUNUNU ZILIZOJAA HUKU KIJIJINI KWETU,NI KWELI MH:DR SLAA KASAFIRI,KAMA NI KWELI ,JE NI KWA SABABU ZIPI?:israel:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Some academicians and activists yesterday advised opposition political parties to resolve their differences and unite if they want to be better place to challenge CCM in the 2015 elections...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nilisikia bado ziko choko choko huko shinyanga mjini, hebu mtujuze mlio karibu na wanaharakati wa huko! Tafadhali!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunashukuru uchaguzi umeisha salama bila vita au fujo kubwa. Kwa kuwa ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na mizengo hata kupelekea CHADEMA na wanachama, mashabiki na wananchi kwa ujumla...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nafasi ya Uwaziri Mkuu haina mjadala na ya kuwa JK ambaye ni jemedari mpinga mabadiliko ataendelea na PM Pinda Mizengo ikiashiria ya kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya kikatiba kwa miaka mitano...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Pamoja na mafanikio ambayo Chadema imeyapata katika uchaguzi wa mwaka huu 2010, bado CHADEMA kama ilivyo CUF kinakubalika sehemu moja ya upande wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kukubalika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari kutoka Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi, Dodoma, zinaeleza kuwa mwananchi mmoja aliyekipigia CCM kura katika Uchaguzi Mkuu uliopita amejifyeka nyeti zake kutokana na kile alichokieleza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Methali hii inamaana kubwa sana,, na maana Hi ni kwa wale ambao waliboronga katika uchaguzi mkuu,, na walio shuhudia wenzao wakiboronga na kupata effects kubwa ikiwemo wengine kukosa Ajira yao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The elections have come and gone and life is back to normal or so it seems. Every day there are millions of Tanzanians who wish work hard to make ends meet. Most of them are in their early 20s to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hope hamjambo wana JF. Naomba mwenye updates toka kwa Rais wangu Dk. Slaa anihabarishe kwani kwa mara ya mwisho nilisikia ataitisha press confr. Wengine tunakoishi gazeti la leo tunalipata baada...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna wabunge/madiwani wapo CCM hawapendi kabisa mtindo wa chama chao wa "Penye uzia pitisha rupia". Lakini ni waoga wasio kifani. Na tuseme si wabunifu. Wanadhani wamezaliwa kuwa wabunge/madiwani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutokana na matukio mengi na matatizo yaliyojitokeza katika uchaguzi huu 2010, nashauri tume hii ivunjwe na wizara husika wafikishwe mahakamani kwa uzembe au makusudi kwa maagizo ya CCM. Hii...
0 Reactions
88 Replies
8K Views
Hili lisiwashitue maana sasa hivi makada wa CCM ni njaa tu imewaweka huko na wala siyo mshikamano wa ki-itikadi na baada ya JK na CCM kupigwa mwereka na Dr. Slaa usishangae kuona kadamnasi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Malalamiko ya wanaharakati wengi na waangalizi wa kimataifa walisema kuwa watu waliojiandikisha na waliopiga kura kuna tofati kubwa sana. Yaani waliojitokeza ni wachache sana ukilinganisha na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Napenda kusema kweli daima, fitina kwangu ni mwiko! Uchaguzi umeisha na yaliyotokea yametokea! Nchi hii siyo ya CCM, wala Chadema wala CUF, WAKITOKEA WAPINZANI WAKALIJUA HILO BASI HAPO NDIO...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom