Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Controversy over the two Tanzanian electoral commissions and alleged Special Branch involvement on the side of the ruling party in the just ended general election, deepened last week with...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna tetesi kwamba mafanikio waliyopata chadema mwaka huu kwenye uchaguzi ni juhudi binafsi na mvuto aliokuwa nao aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia chama chao...inasemekana amekiweka chama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilikuwa Pemba wakati wa uchaguzi. Mvua ilikuwa ikinyesha wakati wa kupiga kura. Lakini akina mama hawakuondoka kituoni na kila mmoja alikuwa na hamu ya kumpigia kura Maalim Seif. Nilishangaa...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema majina ya wabunge wa viti maalumu yatatangazwa wiki hii kwa ajili ya kuapishwa pamoja na walioshinda kwenye majimbo, ambavyo vitaamua ni chama kipi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ili uchaguzi uwe huru lazima wapizani wapiganie watanzania wawe na national id yaani kila Mtanzania awe na kitambulishe cha taifa . Wakati wa kuandikisha wapiga kura liwe ni shart kuu la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ungependa wananchi wakukumbuke kwa yapi? "Wanikumbuke kuwa nilikuwa rais niliyewatoa hapa nikawapeleka pale" Kuna msemo mmoja katika vitabu vya dini unaosema kuwa "pasipo maono watu uangamia"...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna watu wanasema sana juu ya Dr. nina maana Dr. wa kweli "SILAHA" juu ya kwanini hakuhudhuria kwenye mahafali ya "Rahisi" hata tarehe ya kumtangaza na kumwapisha "Rahisi". Vox ninasema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hakuna sababu ya kupigiana kelele........
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete ametakiwa kuangalia uwezekano wa kupunguza ukubwa wa Serikali yake kwa kuweka watu makini, wazalendo na wachapa kazi na wenye kusimamia haki ili aweze kutekeleza ahadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni usalama wa Taifa, Rostam na Lowassa waliongea na vyombo vya habari na kukanusha kuwa hawakuhusika na uchakachuaji wa kura wakati wa uchaguzi. Rostam na Lowassa wakatoa vithibitisho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu mchungaji kabla ya uchaguzi alikuwa mpiga debe mkubwa wa mgombea mmoja wa upinzani sasa sijui ameishia wapi!! Uchaguzi wa mwaka 2000 alimpigia debe lyatonga mrema, 2010 ni slaa, sasa sijui...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Katika kipindi kilichorushwa na ITV tar 30 October,Ephraim Kibonde alimtupia swali ni vp ataweza kutufikisha kwenye malengo ya millenia,kwa masikitiko makubwa hakuna chochote cha msingi jamaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inasemekana na Zenji, maalim Seif Shariff Hamad alikuwa ameshinda kiti cha urais akalazimishwa kukubali matokeo na JK na jeshi ndipo akaanguka saini kukubali ye ni wa pili, kuepusha usalama wake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Some aspects which might be relevant to the struggle ahead: 1: Election into Chairmanship Dr Slaa 2: Mabere Marando or John Mnyika to become Secretary General. Others??? Wanawake?? 3: Party...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kutoa changamota kwa wana JF tusaidie huyu msanii kupanga upya kijiwe chake kipya kwa kupendekeza majina na nafasi ya uwaziri.
0 Reactions
76 Replies
10K Views
Labda ni macho yangu lakini ile gari ni mil-grade kweli? Mi nadhani nimeona a customized Nissan Patrol. Hii imekaaje? Tumekosa gari mil-grade la kumbeba prezidaa wa nji hii kweli? Mpaka kwenye...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Ukiangalia Demographic Strong Hold ya Vyama Vya Kisiasa Tanzania, Utaona CCM Imebaki Nyuma Sana na Kupitwa na Vyama Karibu Vyote. Jambo ni Kwamba Kuna Hawa Viongozi wa CCM Hawawajui Wananchi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tanzania ina watu milioni 42 na raisi amechaguliwa na watu milioni 5 ambao ni sawa na asilimia 12% ya watanzania wote. Chama cha mapinduzi kina wanachama milioni 5 kwa nchi nzima.Kimahesabu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapinzani walisema ccm ni chama cha mafisadi watu wapenda RUSHWA lakini mpaka sasa hakuna mgombea yoyte amekamatwa akitoa rushwa bravoo takukuru bravooo jk bravoo ccm
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom