Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
POLITICS IN THE WORLD ARE DIVIDED INTO TWO MAJOR SIDES THE LEFT AND THE RIGHT CCM-POLITICAL RIGHT-WHAT IS IN THE POLITICAL RIGHT OF THIS PARTY AUTHORITY-CCM assumed that they have the right to...
1 Reactions
0 Replies
751 Views
katika maisha yangu nimepiga kura hii mara ya nne lakini mara zote tumeshuhudia watanzania wakijitokeza kupiga kura na hasa huwa karibu wakuwepo watu wanapiga kura mpaka sa vituo vinafungwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la Nipashe limeripoti ya kuwa Madiwani wateule wa Chadema wameandamana hadi kwa DED kupinga uonevu ambao Manispaa hiyo ya Moshi imekuwa ikiwaonea wamachinga.................. Nilifikiri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Matokeo ubunge Bunda ni kama ifuatavyo: CCM wamepata kura 27305 Chadema wamepata kura 12572 Kwa hiyo Stephen M. Wasira ameshinda jimbo la Bunda kwa asilimia 68 Habari ndio hiyo!
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Kwa hakika vichwa vilivyo kwenye CC ndio vinaweza kuiua CCM au kuifanya iwe kweli chama cha mapinduzi... meaning changing with environment and time... Binafsi naamini uwezo mnao na uzoefu kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sheria ya nchi inakataza mtu au kikundi cha watu kufungua kesi ya kupinga matokeo ya uraisi hata kama kuna ushahidi thabiti kuhusu kasoro za uchaguzi. Lakini katika hali isiyo ya kawaida CCM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua wajameni, Obama amemtumia Kiwete salamu za pongezi mbona kuna vacuum ya pongezi toka balozi nyingii za Western World? je wamejua kilichotokea tayari au?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wote tumeiangusha CHADEMA kwa uzembe ambao hampendi ujadiliwe kwa kina kila unapoletwa kama si makusudi. Tume ilitangaza matokeo ya urais, ubunge na udiwani vituoni kote kwa kuyabandika hukohuko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania uchaguzi umekwisha tunachongoja ni matokeo ya jumla ya urais.Nifuraha yangu kuona upinzani umeongezeka bungeni,kwani hii itasaidia kupunguza makubaliano ya miswada ambayo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Siku zote binadamu dhamira mara nyingi huenda tofauti na matendo.Haya yalishamkuta mfalme Suleiman yule binadamu anayesmwa kwenye vitabu vitakatifu kuwa na hekima sana, hata siku moja akasema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawaomba Watanzania Wenzangu Upitie Web Site ya NEC The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage Soma Matokeo ya Uraisi na Utapata Hasira na Mtanzania Yeyote Anae Fuatilia Siasa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikiwi idadi kamili ya wabunge wa Chadema bado kukamilika, lakini kwa hesabu cha chap-chap na kutokana na mishahara ya wabunge, Chadema itategemea kutengeneza around 2mil Tsh per day! Ingekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi najiuliza, maana ya amani ni nini? Je, amani bila haki ipo? Je, ukiibiwa kisha ukaambiwa LINDA AMANI inakuwaje hapo? Tazama Start TV sasa hivi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii kuna jambo limenishtua kdogo ktk sherehe ya kuapishwa rais mteule wa NEC, mh jakaya kikwete, had najiuliza hiv ndege za kivita ni za nini ktk sherehe kama ile?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
bado tunataka kipi zaidi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi wa Rais,Wabunge na madiwani 2010 uliotawaliwa na kila aina ya mizengwe toka chama tawala CCM.Sasa zimezuka kauli za kulinda amani na usalama wa nchi yetu,chama tawala...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana na kauli ya Mzee Mwanakijiji ya tarehe 5 November, 2010 saa 3:05 asubuhi: "Angalizo kwa wana JF - Lugha ya matumizi ya nguvu haina nafasi" ambayo katumia muda mwingi kujaribu...
0 Reactions
77 Replies
5K Views
wanasema ukila na kipofu usimshike mkono...hii sisiem wamewashika mkono watanzania wengi mno na hakika dhambi hii haitawaacha milele.. iko humu humu Jf ni kuhusu mkutano wa la cairo. hutaamini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kitendo cha "mzee wa vijisent"kuchukua fomu ya uspika ili kulinda maslahi ya mafisadi bungeni,ni mtego mwingine kwa serkali ya kikwete na wabunge wake baada ya ule wa kikwete kupita majimbon...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mafanikio ya chadema katika uchaguzi huu makubwa na yanastahili kupongezwa na kila mtanzania anayeitakia mema nchi hii. Hakuna kificho kuwa Chadema wamedhulumiwa ushindi; hata sisi wanaccm...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom