Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katika medani ya siasa inapobidi, vyama vya siasa hasimu huona ni heri kufunga ndoa ya maridhiano, (marriage of convenience) ili kuepusha balaa. Ndoa hiyo ya maridhiano inayo mifumo mingi. Mfumo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama JK angeniomba nimchagulie mawaziri kumi ningechagua wafuatao. Waziri mkuu - Mark Mwandosya Fedha - Mustapha Nkulo Nje - Bernard Membe Ndani - January Makamba Madini - John Magufuli...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanzania electoral commissions under fire over handling of poll The East African, 8 November 2010 Controversy over the two Tanzanian electoral commissions and alleged Special Branch...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wimbo wa kichaa kweli. Tena kichaa kama Malaria Sugu. Watz wenyewe wamejua. Kuwa wimbo huu ni wa kichaa tu. Kwamba chadema ni cha kikabila. Eti kabila. Kabila gani? (Lyehaga nasege tam). Eti...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
Wakuu punde Dr. Slaa ataanza mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu uchaguzi mkuu pale makao makuu ya CHADEMA Kinondoni, kwa wale mliopo huko tupeni update...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mungu uko wapi. Mbona Tanzania inaanza kupoteza mwelekeo kwa haraka? Watu wanapenda mali na madaraka na UPENDO baina yetu unafifia. Au ndo utimilifu wa maandiko Matakatifu kwamba siku za mwisho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAARIFA RASMI KWA VYOMBO VYA HABARI NOVEMBA 5, 2010 Novemba 3, 2010 mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa aliwatuhumu makada 30 wa Chama Cha...
0 Reactions
117 Replies
11K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt JAKAYA MRISHO KIKWETE amemteua Jaji Frederick Werema kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
LEO MAGEZETI YOTE YA US NA UK; Hayasemi kitu chochote kuhusu Ushindi wa JK Wameweka Story Muhumu kama William Ruto aenda THE HAGUE kujitetea kuhusu Mauaji wakati wa Uchaguzi Kenya; Kuhusu Mtalii...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu Wana JF, na hasa wana-mageuzi. Malaria Sugu amejipambanua kuwa ni mtu mwenye dharau anayependa kukebehi na kusifia upuuzi. Ninashauri tumkatae. Tumdharau. Tusichangie 'pumba' zake. Au...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Chadema kimetokea kuwa chama kikuu cha upinzani Tz. bara, na chachu yake imeamsha upinzani nchini. Hata vyama vingine vya upinzani vimefaidika na chachu hii. Hii sio habari nzuri kwa CCM...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
maamuzi tuliyofanya wewe,mimi pamoja na watanzania wengine jumapili iliyopita yanaweza kuwa ndo hayo yametangazwa na nec kuanzia jumatatu iliyopita na yakahitimishwa na ya urais nasema yanaweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunaelekea ukingoni kwa hiyo kwa wale waliofurahi tumieni hii weekend kwa hilo ila tu Jumapili mpumzike, kwa wale wenye huzuni fanyeni maombolezo ila tu muinue tanga Jumapili, kwa msio na mwelekeo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NILISIKITISWA SANA NA KITENDO CHA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUTOWARUHUSU WANAVYUO WALIOKUWA WAMEJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KUPIGA KURA SEHEM NYINGINE KAMA HAKI YAO YA MSINGI NA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mhe. Rais, Awali ya yote ninaomba nitangaze rasmi kwamba nimeamua kukubaliana na matokeo yaliyokuwezesha kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya pili tena. Malalamiko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukifuatitia takwimu za makadirio nilizozifanya za wagombea wa URAIS wiki mbili kabla ya uchaguzi, utagundua kwamba Mh Kikwete nilimpa 62%. Ukizingatia matokeo halisi ya kura yaliyotangazwa leo na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kutokana na kukubalika kwa Dr.Slaa na sera za chama chetu, Wazee wa Mbezi Juu tukishirikiana na vijana tuna jenga tawi la chama chetu.. Pia tutachukua kadi za uanachama wa wa Chadema...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
THE FOLLOWING ARE SOME OF THE REASONS I BELIEVE JUSTIFY THE DISMANTLING OF NEC TO PAVE WAY FOR AN INDEPENDENT ELECTION COMMISSION MEAN WHILE A PEOPLES INTERIM ELECTION COMMISSION BE APPOINTED...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Nisaidieni nahitaji kujua tofauti kati ya utawala wa CCM kwa TZ na utawala wa Rais wa Zimbabwe R Mugabe
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama hajaomba kuitwa Dr au hatumii Dr basi tusilazimishe jina la Dr basi tu ili tumfananishe na wakina Dr Slaa. Dr Slaa anakipaji cha hali ya juu na kasomea PHD yake. Kikwete mwenyewe alimwambia...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom