Jana Taifa letu lilipitia hatua muhimu kabisa ambapo wananchi walifanya maamuzi ya kuchagua viongozi wao. Kuna mambo kadhaa yaliyonikera na yote yanatokana na utendaji mbovu wa Tume ya uchaguzi...
KATIKA historia ya chaguzi zote, mikoa yenye idadi kubwa ya watu ya Kanda ya ziwa, kanda ya Nyanda za Juu kusini na mkoa wa Dar es Salaam ndipo ambako chama tawala kimekua kikipata ushindi wa...
Nadhani huyu Kiravu analeta mchezo.Hivi inawezekana vipi tupate matokeo kutoka interior regions kama Tarime,Njombe Kusini,Singida Mjini tushindwe kupata matokeo ya majimbo ya Dar?Huu ni...
Katika hali isiyo ya kawaida maelfu ya watu wa mbeya wamejaa nje ya ukuta unao zunguka chuo cha uhasibu ambamo ndimo matokeo ya Jimbo la mbeya yana hesabiwa
Katika hali isiyo yakawaida watu hao...
Hatimaye Zitto kabwe kaja kuhakikisha mbunge wa Kigoma mjini anapata haki yake. Chadema imeshinda viti 13 vya udiwani kati ya viti 19. Inasemekana kua unataka kufanyika mchezo wa kuchakachua...
Hivi sasa jiji la Mwanza maeneo ya Isamilo zilipo ofisi za Msimamizi wa uchaguzi ni milio ya mabomu na kelele za watu. CCM kwa nini wananganganiza ushidi kiasi cha kuhatarisha maisha ya watu? JK...
Ni hatari sana kumnyima mpiga kura haki yake. Kama tume ya uchaguzi ingeamua kuwapa wapiga kura haki yao kwa kutangaza matokeo kwa muda muafaka bila kuchelewesha kungesaidia kupunguza hasara...
hali ya taifa ni tete ole kwa wote wanaotaka kuufisadi uchaguzi na kuwagawa watanzania aidha kwa ukabila au dini hata kutangaza mshindi aliyeshindwa (the hague inaita) mtajulikana kwa majina...
mabomu ya machozi,maji ya kuwasha,askari watawala katika mitaa ya mji wa vwawa jimbo la mbozi magharibi.watu hawaonekani mitaani na maduka yamefungwa,askari wanalipua mabomu mtaa kwa mtaa kwa...
Jengo la CCM Nera lapigwa moto hizi ni habari zilizo nifikia sasa watu wamesha amua sasa fujo mtindo mmoja hili nalo CCM wamelitaka wenyewe kwa kweli hali ni mbaya sana.
Hujuma kali inafanyika hapa Hai dhidi ya Mbunge wa Hai Mheshimiwa Freeman Mbowe. Hadi sasa Mbowe ameshinda ila kuna kila njama za kujaribu kumkwamisha.
Wananchi ni wengi toka asubuhi sana na...
Wananchi wa Kawe wapo barabarani wakiimba "TUNAKA MABADILIKO" kwa Mujibu wa mmoja wa waliohojiwa anasema masanduku yalikua kwenye ofisi ya Mtendaji na wanataka wamwage Kura zote kutoka masanduku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.