Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Matokeo ya Ubunge CCM 52,253 CHADEMA 15,806 CUF 1603 Kata 3 CHADEMA CCM kata 34, duh kazi ipo kwa kweli anyways upinzani tumetoa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Huu si uchochezi. Atakayeona hivyo, basi na aone hivyo. Ni ukweli. Wananchi wanaamua hivi, kikundi kidogo kabisa cha mabepari/mafirauni wanaamua vinginevyo wanavyotaka kwa maslahi binafsi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunawasihi CCM, NEC, na serikali waheshimu maamuzi ya wananchi. Majimbo yote ambayo upinzani umeshinda kihalali matokeo yatangazwe pasipo kuyachelewesha. Msiwalazimishe watu watumie hulka ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naangalia tv mlimani: ripota wao anasema batilda amekubali kusaini kushindwa, lema atatangazwa soon.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Shija Felician, Kahama (Gazeti la Mwananchi) WAKATI zoezi la kuhesabu kura za ubunge na urais likiendelea katika kata ya Bulige jimbo la Msalala Wilayani hapa,Wilayani Kahama, jumla ya Masanduku...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanza niwe muungana kwani taarifa ya awali nilikoipata nilipaamini basi tena ikawa ndivyo sivyo. Source STAR TV. Magufuli ameshinda 37,000 na CHADEMA 14,000 Source STAR TV. Wenje (CHADEMA)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zilizothibitishwa jeshini na kusambaa kwa kasi ni kuwa; Tume ya uchaguzi haina nguvu tena kwa sasa hivi, UWT na jeshi ndiyo wanahangaika hapa na pale na kufuata wazee waone nini kifanyike...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Polisi wasambaratisha watu wanaosubiri watokeo ya ubunge Nyamagana-Mwanza
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hatimae WENJE atangazwa mshindi jimbo la Nyamagana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
huku musoma mambo yamekwenda mrama baada ya mtu mmoja anaye sadikika kuwa mwanachama wa CCM kuingilia maandamano ya CHADEMA na kumjeruhi mtu 1....Na matokeo yake kupigwa nusu ya kuuwawa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Matokeo ya kiti cha ubunge jimbo la kigoma mjini yametoka lakini katika mazingira ya kutatanisha. Mpaka saa 2 asubuhi leo mgombea wa CHADEMA Ali Khalfan Mlei alikuwa akiongoza kwa kura zaidi ya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nchi ya Brazil walifanya uchaguzi siku ya Jumapili kama Tanzania. Idadi ya watu (population) huko Brazil ni kiasi cha 190 milioni na eneo la nchi yao ni kilometa za mraba 8,514,877 (square...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Wandugu, Mhe. Shibuda ameilipua ccm huko Maswa. BBC Swahili wametangaza muda si mrefu. Bunge la mwaka huu litanoga. Askari wa chadema wanaendelea kuongezeka...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Laiti wapinzani wangekuwa serious kipindi hiki wangechukua nchi kiulaini, ila vyama vyao vinakasoro za wazi kubwa, mfano, chadema, ukabila. CUF udini. This was their time ila they need first...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
kama kweli jeykey yuko mwanza hii ndio mana yake
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mujibu ya tume ya taifa ya uchaguzi JK amepata 65%[15570],SLAA amepata 30.49%[7226]:sad:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wapinzani tutumie uchaguzi huu kujifunza!! Mcpo ungana ni dhair CCM wataendelea kuongoza nchi!! Kama wapinzani wangeungana am sure leo wangeshika nchi! Ila kwa sababu ya tamaa zao wamekosa!!
0 Reactions
0 Replies
950 Views
kwa taarifa zinazoendelea kusambaa shinyanga,, mgombea wa chadema bwana shelembi ameibiwa ushindi wake na kusababisha hali ya mchafuko kutokea sasa huko shinyanga.. Pia kwa habari zisizo rasmi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisoma baadhi ya post za wadau, kuna baadhi ya watu wanadai hivi sasa JK yupo Mwanza pia kuna baadhi ya watu wanadai ati yupo Zanzibar, naomba usahihi juu ya hilo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mgombea wa CHADEMA wilaya ya Meatu Ndg.Opulukwa ameshinda.Na madiwani Chadema 1 CCM 11 UDP 2
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Back
Top Bottom