Lt. Gen. Adulhaman Shimbo huku akiwa amekunja uso alituambiwa tukubali matokeo. Sasa namuomba atoke tena awakumbushe CCM waliokubaliana na kauli yake 100%.
Shimbo where are you !!! CCM denies...
CHADEMA mpaka Sasa wanaongoza kwa Majimbo,, na sijui hayo yaliyo baki kwani CHADEMA ilisimamisha asilimia 45 tu ya majimbo yote Tanzania,, lakini ninaimani kuwa Watanzania now wamekubali...
Katibu ya kampeni Kinana alituahidi mdahalo wa JK baada ya uchaguzi Je utafanyika?Atazungumzia nini?Kutangaza matokeo ya uchaguziiii?Kuomba msamaha kwa Watanzania kwa alikotufikisha?Kubatilisha...
Tume iliahidi kuwa matokeo ya kura za Urais nayo yatatangazwa majimboni kabla ya kujumlishwa rasmi na tume na kutangazwa rasmi. Kwamba sasa wanataka wasimamizi wa majimbo wasitangaze hadi wapeleke...
Kwa kweli si jambo la kufurahisha, kazi imefanyika kwa AMANI harafu hawa jamaa wanataka kuanzisha fujo. Nina maswali machache hapa wana JF tujiulize.
1- Nini maana yake kila kituo kubandika...
Wilaya ya mbulu ambako ndio yuko waziri marmo mpaka sasa kati ya kata 32 tayari chadema wana kata 19 mfukoni na ndio tunasubiri huko kwingine!
Upande wa hanang ambako ndio yuko waziri nagu...
Hali inayoeendelea hivi sasa kwa kuchelewesha kwa matokeo ya uchaguzi inaonyesha wazi ya kua ccm haikujiaandaa kushindwa.Kampeni zao zilikua usanii nalizikua zikienda kwa mazoea.Hawakuweza kusoma...
Wanachelewesha buuuure....
Wanaota ndoto za mchana kuwa uchakachuaji wao utaweza kuokoa janga walilolipata...
Nchi imeshakombolewa na rais wetu ni Dr Slaa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.