Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na Rau Masha ni kwamba yuko hoi Bugado Hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji Mwanza.
0 Reactions
136 Replies
15K Views
Jamani naomba matokeo ya Sikonge tabora!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Akijibu swali la muulizaji mmoja siku ya mdahalo,Dr Slaa alisema kamwe vyama vya upinzani haviwezi kusababisha vurugu katika nchi hii na badala yake ni CCM na vyombo vyake ndiyo inaweza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamii, This election is very emotional... people's hopes are pegged on this election. Hofu kubwa ni uchakachuaji wa matokeo. I know there is something we can do about that. Lakini sidhani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tusitoe matokeo mpaka yatangazwe. It is discouraging
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sunday, 31 October 2010 18:38 The Citizen Online Police in Same district are holding a Chama Cha Mapinduzi (CCM) cadre for reportedly campaigning at a polling station. The CCM member, Issa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
:israel:Habari zilizotufikia ni kwamba Joseph Mbilinyi aka Sugu hivi sasa ameshinda ubunge katika jimbo la mbeya mjini kupitia chama cha CHADEMA. Sugu ambaye ni mhasisi wa mziki wa Bongo Flava...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dah nimeona hii itakuwa ni record kwenye JF natumai server linarindimisha matukio yote haya lipo Gado kuhimili mahitaji ya wazalendo hawa Currently Active Users There are currently 15069 users...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
presha inapanda hapa jamani, nipeni data za Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.:israel:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati wana CHADEMA wanashangilia ushindi wa mbunge mpya Vincent Kiboko Nyerere kwenye viwanja vya wazi, mwananchi mwenye mavazi ya CCM alikatisha uwanjani na kujaribu kuharibu sherehe. Amepigwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tarime jamani hali ni mbaya sana. Chadema imeshinda lakini kuna mikakati mikubwa ya kuchakachua matokee na kumeibuka vurugu kubwa sana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"wataalamu wa utafiti nchini tanzania" Synovet na REDET, fanyieni utafiti hili suala la wananchi waliojiandikisha kutojitokeza kupiga kura. Imeonekena kuwa karibia waliopiga kura nchi nzima ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu vp pale mjin moshi vijijini ni komu au chami?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
inasemekana msimamizi wa matokeo amemtangaza mgombea wa CCM kuwa mshindi huko Tarime baada ya kurudia kuhesabu kura.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kulingana na ITV CCM wameikomboa Halmashauri ya Tarime kwa kupata viti 18 vya madiwani na kuna vurugu kubwa huko. Vipo viti 30 tu............Ubunge na uraisi bado kutangazwa.........
0 Reactions
8 Replies
3K Views
ccm - 28064 chadema - 27334 nssr - 7811 cuf - 7368 udp - 185 tlp - 145
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JIMBO LA HAI Kituo cha Kata ya Machame Kusini URAIS 1. Slaa - CHADEMA - 77 2. Kikwete - CCM - 55 UBUNGE 1. Freeman Mbowe - CHADEMA 95 2. Godwin Fuya Kimbita - CCM 39 UDIWANI 1. Richard...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Habari zilizothibitishwa mpaka sasa hayo majimbo tayari CCM chali...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Waheshimiwa wa JF-matokeo ya kituo kidogo cha Sopa-Mwaswale,bariadi ya mashariki ni kama yafuatavyo: Urais:Chadema=59 CCM= 7 APP =1 Ubunge:UDP = 46 CUF = 10 CCM =11 Udiwani:CHADEMA=54 CCM=8 UDP 5...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani mi nahisi ishu ya kuchelewesha utangazaji wa matokeo kuna kitu behind it,hasa ikizingatiwa kuwa hilo linaonekana kujitokeza kwenye yale majimbo yenye utata mtupu.Hizo hesabu hata kama ni...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Back
Top Bottom