Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa mujibu wa BBC radio kupitia Richard katunka, mabomu yanalindima huko kigoma mjini. kigoma kaskazini Zito kapeta na vilevile Kafulila ameshinda.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari nilizopata hata tanga ni kuwa CUF wamevuna viti 9 kutoka 0 vilivyokuwepo mwaka 2005. Kwa maana hiyo halmashauri nayo imeshikika na wapinzani. ila Ubunge CCM ndo kapita. Tanga hakukuwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naombeni updates
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wadau mniambie huko jimbo la kawe vipi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza sana Tume ya uchaguzi inabadili sheria za mchezo katikati ya mechi. Hivi sasa matokeo ya ubunge na urais hayatangazwi tena katika kata .. Wapinzani wapo kimya!! Kura...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tume ya uchaguzi inaendelea kutangaza matokeo ya majimbo mbalimbali nchini. Matokeo haya yanarushwa live katika television mbalimbali ikiwemo ITV. hadi sasa inaonyesha ktk majimbo mengi chama cha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Huko jimboni mchinga vipi jamani walioko ktk groud please tujuzeni
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Chama cha mapinduzi kimezoa karibu majimbo yote ila moja katika mkoa wa Kagera, pia jimbo la mafia ccm imeibuka kidedea, Lindi mjini CUF wamechukua jimbo ilo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba matokeo ya kabwe zitto
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NEC imetangaza majimbo tisa na mwelekeo ni kujaribu kuonyesha JK atashinda ushindi wa kishindo kutokana na uchaguzi wa majimbo wanayoyatangaza.katika ya majimbo tisa waliyoyatangaza Dr. SLaa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
Nimepigiwa simu sasa hivi na mtu aliyepo Manispaa Arusha mjini anasema Batilda anakataa katakata kusaini fomu ya matokeo...Wakazi wa Arusha kwa ujumla wao wamezunguka ofisi hizo na wamejaa sana na...
0 Reactions
195 Replies
22K Views
Monday, 01 November 2010 Mamia ya wafuasi Chadema wamaekusanyika katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya ya Maswa wakidai kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa wabunge katika majimbo ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Atakayechakachua matokeo na kuharibu uchaguzi wa wananchi atakumbana na kichapo cha Yehova. kwa taarifa tu ni kwamba tangu mwaka wa jana Watanzania tumeendelea kuomba mbele za Mungu, tena kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Waku nimepigiwa simu na mdau wa karibu Mheshimiwa Mbowe na Ndesamburo wameingia Arusha kuweka sawa hali ya mambo baada Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha kuwaambia Lema amewekwa sawa na Mzee wa...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Hali ni tete Sumbawanga Mjini. Waziri Mkubwa atia Timu Kunusuru Chama. Matokeo yanasuburiwa kwa hamu. Mabomu yaanza kutumika kuwasambaratisha wafuasi wa upinzani. Wenye data zaidi leteni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wengine hatupati live ITV, tuhabarisheni kinachoendelea huko:sad:
0 Reactions
0 Replies
929 Views
  • Closed
Tetesinilizopata toka mwanza zinasema kwamba hata kule kwa shibuda mambo mswanu kwa chadema.... Nasikia shibuda anaendelea kuwapumulia watani wake wa jadi ccm kisogoni......... Helo helo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
tafadhali Makambo na viongozi wa CCM msituharibia amani yetu na uchumi wetu kwa uchu wa madaraka ya Dr. Batlilda Buriani na Lowasa kwani sasa leo nimeshuhudia Lowasa anaingia katika ofisi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo mpaka sasa kimeshapata madiwani 9 kati ya 14. Viti 5 bado havijatangazwa lakini inategemewa kuchukua vingi zaidi kati ya hivyo vitano.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa hali inavyoonyesha, sasa ni dhahili kutakuwa na umwagaji damu kama matakwa ya wananchi hayatafuatwa. Je ni JK au ni Dr. Slaa ambaye yuko tayari kuingia ikulu kwa kumwaga Damu? Tafakari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom