Kwani si tayari mwanza kuna nini kinaendelea? Tunaomba mtupe habari zaidi,na ikiwezekana waliopo mwanza lindeni kura kwa nguvu zozote zile kwani hata kama kikwete yupo mwanza hatuwezi kuvumulia...
Kuna watu wanataka kuleta uchochezi hapa JF. Wasiokuwa na data za kutosha acheni mchezo wa kutupandishia mori bure!! Mtu anaandika kichwa cha post/thread ukizama ndani longolongo tupu!! Blaablaa...
Mbunge mteule wa jimbo la Hai, mheshimiwa kaka yetu wa ukweli Freeman Aikaeli Mbowe ametangazwa rasmi kushinda ubunge kwa tiketi ya CHADEMA.
Hapa Hai mjini ni shamrashamra za hali ya juu na...
Nimekuwa nikipitia blog mbalimbali kutafuta takwimu ya wabunge wa CHADEMA waioshinda katika majimbo yao, lakini bado sijafanikiwa kupata habari za uhakika, zaidi ya Zitto Kabwe ambaye ameshinda...
Rafiki yangu wa karibu Mhandisi Tuni Abraham Humphrey kanipigia simu sasa hivi kuwa mpinzani wake wa CCM ambaye ni Naibu Waziri wa Serikali za Mitaa katangazwa na Msimamizi wa...
Najiuliza hivi vichwa vikifanikiwa kuingia bungeni (vingine tayari) Bunge litakuaje
Kichwa kama Tindu Lisu
Freman Mbowe
Halma Mdee
Myika
Thomas Nyimbo
Lema
na babu mrema na vingine kibao....
Huyo...
Mbona tbc hamsomi upepo?naona mnatangaza tu sehemu ambazo mabosi wenu wameshinda.mnaogelea kinyume na mkondo wa maji shauri yako tido mhando
soma wakati ukutani
Naomba katika post hii tutaje tu wagombea waliokwisha dhibitishwa na TUME(Wakurugenzi)tuachane na masuala ya matokeo ya awali tutaje waliotanagzwa tu ili tujue tunao wabunge wangapi mkononi at the...
Wanajf,
Kama mkiangalia kwa undani CCM wako very strategic kuchakachua matokeo. Wameanzisha fujo Temeke, Kigoma Mwanza na Tarime makusudi. Lengo ni kuwafanya watu wakoncentrate sehemu zenye...
Hapa Arusha Mshindi ametangazwa kuwa Lema but the radios are claiming kwamba kuna jimbo la terat lilisahaulika thus Batilda wins.
Any one with more on this please.......
Hbari za uhakika kutoka maswa zinasema kuwa mpaka sasa Tume wameshindwa kutangaza matokeo kwani maswa magharibi na Mashariki yaani kwa SHIBUDA NA KASULUMBAYI - CCM wamepigwa sana, nahisi...
Mimi ni mmoja wa wale ambao tumechoshwa na ufisadi, hivyo napata faraja kubwa sana ninapoona haya matokeo yanayotolewa hapa kuwa mafisadi wanaelekea kupigwa chini. Lakini sasa napatwa na wasiwasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.