Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jamani inakuwaje shinyanga huko, nasiki kuna jimbo ambalo watu wasio julikana wamechoma masanduku 7 ya kura.MUNALICHUKULIAJE HILI WANGWANA?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhalini wadau waleta habari leteni habari zilizothibitishwa sio uzushi. Hadi sasa hivi nishachanganyikiwa ipi ni habari ya ukweli na ipi ya uongo...tusikurupuke tuwe na subira.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CHADEMA imemfanya kitu mbaya Batilda, Pole mama...........
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Jana nimeona matokeo ya vituo vya utawala nikajua kuwa ukitaa kumulika nyoka anzia miguuni kwako na nilikuwa najua kama REDET watakuwa vizuri kazi watakuwa waliianzia pale chuo kwa wanazuoni...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jenister Mhagama wa CCM kamshinda mgombea wa CUF
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kweli hawa ccm ndo wanatupeleka huko? wawape raia haki yao.Viongozi kama hawa hawatufai kabisa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
BBC News - Why is there almost no tribalism during Tanzanian elections? hii ni video inaongelea mambo ya tribalism Tanzania na Uchaguzi. Nimeipenda kweli. Safi sana.... Can elections help...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari toka kwa independent observer huko Karatu zinasema CHADEMA imechukua jimbo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
TBC wametangaza matokeo kama ifuatavyo; Ubunge Chambiri wa CCM - 13,506 Pauline CHADEMA - 6409 Udiwani CCM wamezoa viti vyote 8 vya jimboni humo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Kabla ya viti maalum. Bunge la Jamhuri (yes ukichanganya na Zanzibar) kutakuwa na wapinzani between 80-90. Ukiongeza na vitu maalum, lazima tukubali kwamba litakuwa bunge la ukweli. Jakaya is...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
utabiri umetimia au?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Inasikitisha kuona ya kwamba CCM na serikali ambayo ilikua inaimiza uchaguzi wa amani.Lakini ni CCM hiyo hiyo inayojenga mazingira ya vurugu kwa kuchelewa kutoa matokeo.Kuwaweka wananchi katika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Taarifa nilizozipata muda huu kutoka kwa mmoja wa viongozi wa CCM (W) - Meatu (Jina limehifadhiwa) ni kwamba mgombea ubunge kupitia CCM Ndugu Khamis Salum Mbuzi ameshindwa kutetea kiti chake cha...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Kawe hadi sasa kuna mvutano wa kutangaza matokeo........update zaidi please
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KUNA TETESI KWAMBA MZEE SUMARI, ALIKUWA ANAKUBALIKA SANA KABLA YA MWANAYE KUHAMA CHADEMA KUTOKANA NA KUDANGANYWA KWAMBA ATAPEWA KITI MAALUM SISIEM, HII IMEPELEKEA VIJANA WENGI WANAOPINGA ROHO YA...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Inasikitisha sana kwamba mpaka sasa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi hawataki kutangaza matokeo RASMI YA KURA ilhali matokeo ya vituo vyote vya KATA wameshayapokea. NEC na wasimamizi hawataki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
huko mbagala hali si swari........
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza swali moja ambalo imekuwa ngumu kupata jibu. Hivi wakuu mmekuwa mkijiuliza ni nani atawakilisha CCM kwenye urais 2015? Kwa harakaharaka sijamuona maana naona kama wote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kweli wazungu watatucheka, CCM hawa ni mashetani ya Tanzania, kwa sababu wanafanya kila hila kupata ushindi ilhali wakijua fika ahadi na sera zao hazitekelezeki. Sasa wanataka kupanga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom