Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna wakati members wangependa kuwasiliana moja kwa moja na wanao cordinate uchaguzi kwa upande wa CHADEMA lakini wanakosa namba / contacts. Nashauri iwepo page itakayokuwa na details hizo, iwe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani, Tuliambiana humu JF kwamba document ya kujumlisha kura zote jimboni automatically imeshatengenezwa. Hivyo hakuna ujanja wa kupindisha mahesabu. Tulikubaliana tuwasambazie wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari nilizopata sasa hivi kutoka Jimbo la Karagwe, kata ya Mabira ni kwamba kuna wasimamizi wa kituo fulani wanahojiwa na polisi kutokana na wapiga kura kukuta alama ya tiki kwenye chumba chja...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kana sehemu nyingi wasimamizi wameripotiwa kutotaka kuhakiki majina ya wapiga kura, yaani mawakala hawaambiwi, Sehemu zingine hata daftari hawana access nalo. halafu kuna kutofautiana kwa namba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mungu amenisaidia nimekuwa mtu wa kwanza kituoni kwangu kupiga kura. Nilifika saa 11 na dakika 33 (05h33) na kituo kilifunguliwa saa 12 na robo (06h15) na nilipiga kura yangu saa moja na dakika...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Ni hivi punde tu Mwakilishi wa EU akiwa antoa tathmini yake ya awali emesema uko Lindi kuna irregularities kiasi eti mmoja wa wanafamilia anawapigia wengine katika familia yake. Unless...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
katika hali ya kushangaza,mawakala wa chadema wanazuiwa kuhakiki vitambulisho vya wapiga kura kituo cha sinza mapambano
0 Reactions
10 Replies
2K Views
BBC Swahili on USTREAM: Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC ikisikika moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam maalum kwa matangazo ya uchaguzi..
1 Reactions
3 Replies
13K Views
piga number zifuatazo ili kuondokana na tatizo lako. 0758466122 0754281463 0754271767 Mkurugezi wa tume ya Uchaguzi RAJABU KIRAVU ametoa number hizo ,na muber hizo ni za watu walioko kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
A total of 663 reports have been received on Uchaguzi Tanzania with 90% verified by TACCEO. The verification process involved actual phone calls to citizens amplifying the specific concerns for...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
kwa vile tunauhakika wa wewe kuapata ushindi ulio wazi, binafsi na huenda wanachama wengine tungekushauri, katika baraza lako la kihistoria la mawaziri jalibu kuwaweka baadhi ya makamanda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makarani wa kuchapa matokeo ya jumla yakiwa yameshakusanywa wamechukuliwa na kupelekwa makao makuu ya Mkoa. Taarifa hii imetoka kwa Mtanzania mwenzetu akiwa Manyara ambapo ameniambia kuwa hawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ripoti hizi si za kupuuza hasa ikitoka kwa shuhuda 31/10/2010 0 Comment(s) Nimekuwa nikifuatilia machapisho ya bloga, Albert Paul na licha ya kuwa blogu yake haina umaarufu zilizonao blogu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Uchaguzi haujaahirishwa na tayari nipo kituoni kwa ajili ya kupiga kura. Kama utabiri huu wa kimajini umekwama, ule uchafu mwingine wa JK kushinda kwa kishindo upo kweli? Sheikh Yahya kajifiche...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimeshatoka kuvote for slaa,ktk kata ya sinza: Nimestaajabu kuona mawakala hawausishwi kukagua kadi ya mpiga kura na daftari la wapiga kura,kiana wametengwa. Ni rahisi kwa mtu ambae hayupo ktk...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Vijana wengi walioandikishwa mwaka huu katika kituo cha Batist kata ya Kichangani Morogoro mjini majina yao hayakuonekana na baadhi yao wameambiwa warudu tu ni bahati mbaya! inakuwaje kwa taarifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, Baada ya kupata taarifa juu ya suala husika Timu ya Uratibu imepitia vituo vyote na kuhakikisha tunakuwa na MAWAKALA WAAMINIFU. Napenda kuwajulisha na kuwaondoa hofu kuwa mpaka saa 5...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hizi kampeni za siku ya uchaguzi, zimeendelea kwa JK kupiga kampeni live, baada ya Lowassa kupiga kampeni kule Channel Ten, JK Mwenyewe amekipigia debe CCM live on Star TV, bado yuko hewani live!
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Sasa ni zamu ya Dr. Slaa live on Star TV.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wataanza kuonesha hivi punde
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom