Wakuu, kumekuwa na posts nyingi kuhusu mwenendo wa Upigaji kura. Hii inasababisha tunashindwa kufuatilia matukio vizuri. MODS wamesaidia kidogo katika hili. Ukiingia katika Forum ya UCHAGUZI...
Nimesikia tetesi kuwa inawezekana kwa mtu kupiga kura ya urais mahali popote hata pale ambapo hajaiandikisha, je swala hilo lina ukweli kiasi gani?
Wenye taarifa sahihi mtujulishe jamani
Jamani mbona JK hakuwashukuru riziwani na miraji jana pale Janngwani? Alimshukuru mke wake tu. Au aliogopa usemi wa BMW (baba, mama, watoto)?
Halafu alikumbushia siasa za majitaka kwa kusema...
wandugu jana iringa ilitawaliwa na maandamano makubwa ya chadema, mji mzima ulijaa furaha huku watu wakiimba mafisa hatuwataki na kuwaacha wafuasi wa ccm hoi.picha kutoka francis godwin.blogspot.com
Kuna habari zinaingia sasa hivi kuwa mji wa Mbeya umekatiwa umeme/umeme umekatika. Hata kama ni hali ya kawaida (kama tunavyojua) lakini yaweza kusababisha manung'uni yenye kuhusisha hilo na...
Wakuu,
Najua ufungaji wa JK mmeuona kirahisi na huko Mbeya hamkufanikiwa kujua kwa ukaribu kilichojiri kwa video au picha.
Hizi ni baadhi ya picha nilizozinasa nawakilisha
Gari la Polisi la...
Tarehe kama ya leo, 31-10-2007, miaka mitatu iliyopita gazeti la Raia Mwema lilianzishwa, miaka mitatu ya gazeti hili limechangia kwa kiasi kikubwa katika mchakato wa mageuzi ya kisiasa na...
Ndugu waheshimiwa,Wakati nikijipanga kupiga kura yangu siku ya tar 31, nimekuwa nikiangalia hali ya hewa ili mtu asijesingizia hali ya hewa ilikuwa mbaya na hakujua. Mpaka sasa inaonekana kuwa...
Mi naskia raha isiyo kifani kwa siku hii njema...
Jumapili ilo njema kwetu watanzania....
Siku tuloisubiri kwa hamu na kwa uwezo wa mola imeingia....
Amkeni kaka na Dada inukeni vitandani...
Wadau,
Nimekuwa nikifuatilia mijadala inayoendelea katika forum hii. Nataka kutoa changamoto kwa wadau wenzangu ili tujadili swali lifuatalo:
Je, ni mtanzania gani ana SIFA na VIGEZO vya...
Usiku wa leo na mchana wa kesho ni siku ambayo CCM inapitisha na itapitisha unyama wa aina yake wa kutumia hila zao walizozitayarisha kwa ajili ya kupora uchaguzi.
Hivyo wananchi wale wote ambao...
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu...
Ndugu zangu wana JF na wa Watanzania wote, leo ndiyo siku ambayo tumeisubiri kwa muda mrefu. Ni siku muhimu sana katika mapambazuko mapya ya nchi yetu. Nawaomba kila mmoja wetu ambaye...
Makamanda wa PCCB huko Bariadi wamemkamata mke wa Andrew Chenge aitwaye Tina kwa tuhuma za kugawa hongo ya Sh5,000 na kanga kwa wapiga kura katika vikao vya siri alivyokuwa anavifanya.
Source...
WAZIRI Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Ahmed Salim, amemmwagia sifa mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dk. Jakaya Kikwete, kuwa ana nia ya dhati ya...
Whats up jf world? The time for talk is up, now its time for some action. So who ya got? Slaa or kikwete? Me yours truly here im picking kikwete to win handily albeit i hate ccm's guts. Let me...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.