Moyo wangu umeshtushwa ghafla baada ya kuulizwa swali hili! hvi kuna madhara yoyote kama wale wakikukunjia?
Na ni kwanini wanatoa karatasi zikiwa zimekunjwa? Je kuna uwezekano wowote wa kura...
Kwa mara ya kwanza nimejikuta naingiwa na uzalendo wa hali ya juu wa kufanya Campaign ya masafa marefu (kwa simu) kuhamasisha ndugu, rafiki, na jamaa zangu huko Tanzania kwenda kupiga Kura...
Ndugu zangu wana Jamvi
Zimebaki siku chache watanzania wenye Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea kulijongelea Sanduku la Kupiga kura ili Wafanye Maamuzi yatakaamua Hatma ya Maisha yao kwa kipindi...
Ninasikitika kwa kutokuweza kutumia haki yangu ya kuchagua viongozi wangu leo. Nilijiandikisha kupiga kura, nilihakiki jina langu kwenye tovuti ya NEC, bahati mbaya nimepata safari ya ghafla ya...
Watanzania waliowengi wameonnyesha hali ya kukomaa kisiasa na kuelewa elimu ya uraia. kwa kipindi chote cha kampeni watanzania wamwkua watulivu huku wakisikiliza sera za wagombea wa nafasi...
Jamani hakuna uchaguzi ulio makini kama wa leo.nec walijiandaa vizuri utaratibu wa kupiga kura nimeukubali hata asiyejua kusoma na kuandika atapiga kura yake maana vijana wa kuelekeza wanajua kazi...
Kwa kweli mwezenu ni mshabiki mkubwa sana wa rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Leo ameniboa mpaka mwisho. Hivi sijaelewa kama rais wetu mstaafu ameongea toka moyoni!
Kutoka leo si shabiki wake tena...
Gazeti la Tanzania Daima la leo limemkariri mgombea Uraisi kupitia Chadema ya kuwa akiwahakikishia mashabiki wake ya kuwa atashinda kwa kishindo na yakuwa wapigakura safari hii wamemkubali awe...
wana jamvi naomba kama kuna mtu mwingine anaweza ku access blog za watanzania, for about three days Blog Nyingi zimekuwa hazinguki sijui kwa sababu
Je inawezekana blog za Kibongo zimepigwa Pini?
Wakuu,
Uchaguzi unaisha leo saa 12.
Ninawaomba baada ya hapo tupeane habari za uchaguzi kwa amani bila matusi wala jazba. Tujiepushe na zile habari za kuzua na kuwadanganya wana JF.
Kama...
Leo asubuhi nilifika kituo cha kupigia kura Mokorora shuleni saa 6:05 AM na kuwa mtu wa pili kufika hapo kituoni.
Nilishangazwa na Land Rover 110 za F.F.U zenye askari waliovalia kivita...
Nimepata habari mida hii kutoka Tarime kutoka kwa jamaa yangu mmoja kwamba huenda kukatokea vurugu pale kushinda zile za mwaka juzi wakati wa uchaguzi mdogo. Anasema makada wa CCM wanataka...
Wakati ndo natoka kupiga kura nafika tu home nikafungulia choice fm ambayo bbc idhaa ya kiswahili wanaitumia kurusha matangazo maalum ya uchaguzi wa tanzania, nikasikia wanatangaza kuwa leo...
31/10/2010
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema italazimika kurejea uchaguzi katika wadi nne za Mji Magharibi kutokana na hitilafu zilizotokea katika karatasi za kupigia kura.
Akizungumza na...
Ndugu zangu kama kuna suala lolote lisilo la kawaida au linavuruga haki ya mtu kupiga kura kwa uhuru na kwa siri basi tunaweza kutuma kwenda LHRC ili wasaidie kufuatilia. Maelekezo tuliyopewa...
Mtu huyo mwenye kadi hii amehangaika kutafuta kituo chake cha kupigia kura bila mafanikio ameangalia mpaka kwenye website ya nec bila mafanikio, je watu kama hawa wapo wangapi na nec wanaagenda...
Early in the morning, well - around 0830hrs, I'm on a queue, waiting for victory, yes, a 3-0 victory, (diwani, mbunge + rais) The chat with fellow citizens gives me hope, that a new era is coming...
CHADEMA wamemaliza kampeni za ubunge jimbo la Nyamagana leo jioni katika eneo la mkolani.Mabere marando alikuwepo kumsaidia Wenje Dibogo wa CHADEMA!Umati mkubwa umejitokeza siku ya leo...
WEKA HOJA AMBAYO IPO VERY CURRENT FOR THIS TIME TUPE HABARI ZA VITUO UPANDE WAKO HALI IKOJE MAMBO YA YAHAYA ATUTAKI KUSIKIA ATUSAIDII SA HIVI 2AMASISHE WATU IYO HOJA YA YAHAYA WANA JF HAITUSAIDII...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.