Dk. Slaa: Nitashinda
• Kuhitimisha kampeni Mbeya leo
na Mwandishi wetu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Watanzania...
Wakuu,
Jana katika mkutano wake na waandishi wa habari JK kwa mdomo wake alinishangaza pale alipotoa mfano wa ajira walizo leta katika kipindi cha miaka mitano ni "uanzishwaji wa Groceries...
Gazeti la Mtanzania likidhani ndiyo linamjenga JK kumbe la hasha limemnukuu Bw. Lowasa akimnadi mgombea wa CCM wa Uraisi JK kwenye kichwa cha khabari kisemacho.........."JK hana mpinzani na zamu...
Ndugu wa'Tanzania', Tunakaribia kuhitimisha kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania (2010) kwa kupiga kura hapo J2 zitakazoamua nani kuwa rais wa Tanzania. Kupitia uchaguzi huu, watanzania pia watapata...
dokii kukatika mauno hadharani
mahudhurio hafifu na wewngi kuonekana walifuata burudani toka kwa marlaw,flora mbasha na hafsa kazinja
jk kutumia dakika kumi kwenye hotuba yake
jk kurudia kauli...
Watanzania, Taifa linapata Ukombozi;
Hii ndio hali Halisi, wataiba kura sana lakini Mkono wa Mungu utawaumbua, na nguzu za giza zitawashinda. Wataanguka na Rais Wetu Mpya atapita katikati yao, na...
NEC yabariki kampeni za Chadema Maswa kusitishwa
Na Joseph Mwendapole
30th October 2010
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imebariki uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Jimbo la Maswa...
Leo kwa kuwa siyo siku ya kazi nilijihimu kwenda soko la Ilala kujipatia mahitaji yangu.
Nilipoteremka stand ya Ilala sokoni (kutokea maeneo ya Buguruni) niliona watu wengi, hasa vijana...
Leo wataalam wanasema ukitaka kuzaa mtoto wa kiume mimba lazima itunge siku ya 14
jaman kupitia uzoefu wanga siku kama ya leo katika kila chaguzi chama cha mafisadi uwa wana kesha usiku kucha...
Ndugu zanguni, kama kuna mtu anayo detailed profile ya Dr Slaa naiomba nataka niiweke mahali fulani kwaajili ya wasomaji.
Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
Wandugu yamebaki masaa Kabla ya Kuifikia siku ya uchaguzi, ni saa sita na dakika moja usiku wa leo kama Mwenyezi Mungu akipenda tutakuwa tumeifikia hiyo siku!
Bado ninashaulu ya kujua kama ni...
Ahadi za Dkt. JK:
1. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini
2. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa...
CAG aagiza tuhuma dhidi ya Dk Kawambwa kuvaliwa njuga
Saturday, 30 October 2010 (Mwananchi)
MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, amemwagiza Mkaguzi Mkazi wa...
Hey guys,the only and great thinkers,
Kwa mara ya kwanza nimetokwa machozi ya uchungu na furaha,vyote kwa pamoja niliposoma post ya Dr Slaa aloituma hapa hivi punde.
1.Nimekuwa na uchungu kwa...
JK kweli anajua kula na vipofu, na amedhihirisha hilo kwenye Q&A session ya jana ( Huku wakiuita ni mdahalo).
Anasema siri ya ajira nchi hii ni Kuleta wawekezaji? Cha ajabu ukitembelea website...
Waliotangaza kura feki Tunduma wapata dhamana
Saturday, 30 October 2010 Mwananchi
Stephano Simbeye, Mbozi
VIONGOZI wawili wa Chadema, kata ya Tunduma, wanaokabiliwa na kesi ya kutoa taarifa...
Waulizwa maswali wamepangwa, wengine hawaruhusiwi kuuliza. Mambo yameanza. Kabla hajaanza kujibu, kwanza anacheka.
Suzan Mungi-Style ya kampeni, unawanadi wabunge baadhi ya wananchi wanalalamika...
baada ya miaka mitano nawasilisha summary of some critical view zangu kwa Utawala/ Uongozi wa JK.
NB
Naomba Nieleweke kama rais anayemaliza lazima kuwe na critics hata angekuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.