Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Leo nilikuwa namsikiliza JK. kuna sehemu amenihuzunisha sana pale nilipomsikia anaimba JK:"Daraja Daraja Daraja " hicho kibwagizo kimenionyesha huyu mtu ni Msanii wa bongo flavor ila kakosea njia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi, yeah kama kichwa cha ujumbe kinavyosema, nahitaji msaada wa kimawazo. mimi nikijana tu wa kawaida niko kidato cha pili katika sekondari ya kata ya nyarugusu wilayani/mkoani geita. nimekuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maandalizi ya mkutano kabambe kesho yamekamilika ...nimepita pale jangwani usiku huu...nimekuta mkesha wa walinzi..unaendelea ..,na kuna dalili ya wenye imani mbali mbali kuwa pale kwenye vikundi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Je "mdahalo" wa JK unatueleza nini kuhusu watanzania?
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Nimepata taarifa toka songea wanasema pamoja na ahadi za jk alizotoa za meli,hosp za rufaa na bla bla nyingi,umati ulimuita tena dr.slaa leo songea haijawahi tokea.kama kuna mwana jf there pse photos!
0 Reactions
23 Replies
3K Views
never on earth kwamba turnout ya voters ni 100%, leo kiravu anatueleza wanaongeza 10% ya papers to cater 4 shortages, hii inaingia akilini, Mjoma mpoki anasema uchaguzi uliopita turnout ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale tu waliokua na mda wa kumsikiliza mkuu wa nchi anaemaliza mda wake, yaani ex-president. Je umeguswa vipi na unampa maksi ngapi? Update: Nawashukuru wote ambao mko objective, unapotoa...
0 Reactions
70 Replies
5K Views
Hatimaye imebakia siku moja wananchi kwenda kuwachagua viongozi wawapendao kuwaletea maendeleo kwa awamu ya pili baada ya viongozi wa vyama vyote saba baada ya kunadi sera zao. Kweli nimefuatilia...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Katika khali inayothibitisha ya kuwa fani ya uandishi wa khabari imeingiliwa na kuvamiwa na mamluki wenye nia mbaya ya kushusha hadhi ya vyombo hivyo machoni pa jamii, gazeti la Mtanzania la leo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The Moshi High Court has dismissed Benjamin Mengi’s defamation claims against British investors Stewart Middleton, Sarah Hermitage and Mr. Paul Deodat Mtenga, a Tanzanian and former employee of...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Ndugu zangu wa'Tanzania' kama ndoto vile tarehe ya kupiga kura kuchagua viongozi wetu inazidi kusogea. Tumebakisha masaa kadhaa tu kabla hatujafanya maamuzi muhimu sana ya kuchagua viongozi wetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imevishauri vyombo vya dola kutowabughudhi wananchi watakaokaa mita 100 kwenye maeneo ya vituo vya kupigia kura baada ya kumaliza kupiga kura. Ushauri huo ylitolewa...
0 Reactions
8 Replies
855 Views
The cave is the world The fetters are the imagination The shadows of ourselves are the passive states which we know by introspection. The learned in the cave are those who possess empirical...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mi ni graduate from UDSM bachelor of commerce natafuta kazi ya accountant
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo jioni channel Ten na CCM wamezindua matangazo ya kumnadi JK huku wakichakachua aliyoyasema Dr. Slaa katika kampeni zake. Jk anaonekana mikutano yake ya mijini mahudhurio watu wamejaa na huku...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani JF, Viongozi wa dini hasa Wakristo wamenunuliwa leo kwa pesa chafu na JK na wameandaa magazeti kwa ajili ya kumpigia kampeni na kumsafisha JK siku ya tarehe 30.10.2010. Miongoni mwao yapo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu. Nimegundua kuwa wengi wetu tunapiga kura kwa huruma kwa sababu tumekuzwa na kuelelewa kwa kuhurumiana. Kila mmoja wetu amegundua hasa baada ya mdahalo wa jana kuwa rais wetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo, wakati anajibu maswali kutoka kwa wawakilishi wa vituo vya TV, Mgombea urais kwa tiketi ya CCM rais JK, alisema kwamba sababu iliyomsukuma kuwanadi wagombea wa CCM wanaokabiwa na kesi za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dear Brothers and Sisters in Christ, Grace and peace from God our Father and the Lord Jesus Christ be yours in abundance. We responded to God’s call to mobilize his people all over the world to...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom