Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ngome ya chadema imeingiwa na vilio na kusaga meno baada ya vijana wengi wenye usongo wa kuibwaga CCM kutoona majina yao kwenye orodha ya majina yaliyobadikwa kwenye jengo la Nkruma pale mlimani...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
FFU WAKIMBIZA WAFUASI WA CHADEMA IRINGA ,DK SLAA AKWAMA KUHUTUBIA " Hapa tupo gado akitua tu Dk Slaa tunaye" " Ila hawa wananchi mbona ni wengi sana itakuwaje hawawezi kufanya fujo" "...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Ndugu zanguni, Taarifa nilizopata leo ni kuwa 'mdahalo' utakaoneshwa na ITV leo usiku kuhusu mgombea Urais wa CCM Jakaya Kikwete, umeingiliwa na mafisadi kuhakikisha kuwa unakuwa ni mkutano wa...
0 Reactions
85 Replies
8K Views
makamu mwenyekiti wa Jahazi Asilia Taifa Bw Ismail Makuke (kushoto) akanusha taarifa ya mgombea urais wa UPDP ambaye ametolewa kugombea nafasi hiyo baada ya kukosea jina lake Fahma Dovutwa ambaye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Imagine baba yako JK, mjomba wako kinana, shemeji yako makamba na dovutwa ndo anamalizia mahali kwa mdogo wako wa kike?! Utajisikiaje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wekeni midahalo yote mitatu hewani mmoja baada ya mwingine then watz wapime nani haswa yupo makini na anapaswa kuwa rais wetu,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu naomba mnielimishe hapa....mimi nimejiandikishia Yaeda na nilikuwa nipigie kura kule....kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika kwa sasa naandikia hii thread huku Tandahimba, sasa nasikia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimepitia karatasi za wapiga kura, ambazo zimetundikwa maeneo mbalimbali katika vituo vya kupigia kura tarehe 31/10/2010. Katika orodha waliyoweka tume ya uchaguzi, kuna aina mbili za namba za...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Haya ni matumizi yasiyokuwa ya lazima ya FFU Watanzania wanaoneka wana amani kabisa Askari hata hawaoni umasikini unaowazunguka... angalia hayo mabati Uchafu hawauoni Ila raia wema...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mungu waadabishe, waongezee njaa na dhiki waandishi wa habari wa Tanzania, WANAFIKI..amen
0 Reactions
17 Replies
2K Views
....but these CCM mofos know how to play the game (of politics). I am in the rock city right now and all you see is CCM ads...from billboards to placards to hats to just about every little thing...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nikiwa njia kutoka mji mdogo wa katoro(busanda),ghafla wakati tunaaza kuingia gta mjini nje kidogo ya centre ya nyankumbu nikaona magari ya kampeni ya mgombea wa ccm yamesimama green gud wake...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tukio hili nalilinganisha na jinsi mkuu wa Wilaya alivyo wachapa viboko waalimu huko Bukoba. Tofauti ni kwamba waalimu walichapwa kwa usimamizi wa askari. Huyu OCD ni kwa upuuzi wake tu maana kila...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama midahalo ni kipimo cha urais wapendwa nani tumtangaze kuwa rais wetu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kutoa shukrani zangu kwa Bw Mengi na timu nzima ya ITV, kwa kuweka historia ya mapambano/ demokrasia Tanzania kwa kuweza kutoa coverage ya 3hrs kwa CHAMA CHA UPINZANI, hata kama ni kulipia...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Jamani nawaomba mrudi nyuma mtafakari zaidi juu ya mgombea huyu ambaye ni rais wa tanzania kweli anathubutu kutwambia watanzania kwamba ahadi nyingi alizozitoa ni za hapokwapapo??!!!inashangaza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninawaomba wana CCM mnaoweka maslahi ya nchi mbele ya Chama mumuulize Mpendwa wetu mgombea wa CCM maswali haya kwa niaba yangu na ya wanachi wengine ili akanushe uvumi unaoenezwa juu yake katika...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Jk kaulizwa swali kuhusu ahadi anazotoa kila sehemu itakuwa vipi? Jamaa anajibu kisanii kwamba inambidi tu aseme japo hayako kwenye ilani kutokana na mazingira. Duh, huyu ndiye eti rais
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana nisaidieni neno hili,nimejaribu kufikiri kuwa yule mtendaji wa PROPAGANDA FIELD ndugu makambale ataficha uso wake wapi siku ile tukufu ya kuanza mapambano ya safisha safisha mapakashume...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom