Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mtu wa pili na watatu kutoka kushoto na wapili na watatu kutoka kulia wameipa hii picha maudhui tofauti.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Eti wataalamu wa cement wameohojiwa leo itv na tbc1 kuhusu bei ya cement kuwa sh 5,000 haiwezekani kutokana na gharama ya usafirishaji kuwa kubwa! Wana JF, nauliza mbona bei ya soda huwa karibu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
VITA BARIDI-COLD WAR(CHADEMA vs CCM) Ni Jumapili ya terehe 24/10/2010 saa 5 asubuhi niko mezani najiandaa kuandika makala ya kueleza maoni yangu kuhusu mdahalo uliofanyika jumamosi ya tarehe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba CCM wameandaa mikakati michafu kuhakikisha kwamba wanashinda Uchaguzi wa Ubunge jimboni Ubunge kwa gharama zozote. Wamekaa kikao na kukubaliana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
TRA ‘watibua nyongo’ za Wanzanzibari Monday, 25 October 2010 07:52 0diggs digg Ally Mkoreha, Zanzibar IDARA ya Ushuru wa Forodha katika Bandari ya Dar es Salaam, imetajwa kuwa mmoja ya...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nionavyo mimi, ingewezekana kabisa NEC watuwekee link kwenye mtandao wao ili tuweze kuona waziwazi: 1 Majimbo yote ya Uchaguzi katika mikoa yetu, 2. vituo vyote vya kupigia kura vilivyo katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Soma mwenyewe kumbe JK ana nickname nyingine "Mr. Beep" Tanzania's election: Promises, promises | The Economist
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Wafanyakazi wote Wizara ya Mambo ya Ndani makao makuu majira ya saa 5.45 leo hii wamepewa pesa taslimu shillingi 30,000 kila mfanyakazi kuanzia mkubwa mpaka mlinzi ili wampigie kura Kikwete siku...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wengi wa Wasimamizi na makarani wa vituo vya kupigia kura Jimbo la MONDULI kwa uchaguzi utakaofanyika 31/10/2010 ni wahitimu wa darasa la saba. Ni ukweli dhahiri kuwa mhitimu wadarasa la saba hana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa wale ambao wapo Dar es Salaam, tunaomba wanaoweza kujitolea na kushirikiana nasi kwenye uangalizi wa uchaguzi tuwasiliane ili tuweze kuifanya kazi hii kwa ushirikiano na kwa ufanisi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jana wanazuoni wa Uhazili Tabora walijikuta wakisweka lupango kwa muda wa masaa kadha wa kadha baada ya kinachosadikiwa kumwonyesha alama ya "V" Mama Salma alama ambayo inatumiwa kukinadi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
REDET, SYNOVATE na, wagombea wametugeuza watanzania ‘ndondocha’ Wagombea wote watakaoshindwa kutimiza ahadi zao washitakiwe kwa makosa ya utapeli na udanganyifu Na Juma Kidogo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waungwana, ikiwa unakerwa na BBC, tafadhali weka malamiko yako hapa. Nimeongea na mkurugenzi wa world service na ameniahidi kwamba jinsi tutakavyotoa malalamiko ndio jinsi malalamiko yetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana nilitoa Thread inayouliza ""asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?"" Heading hii ilivuta hisiaza wanajamii wengi sana kiasi kikanipa jib kwamba wanajamii wengi wanaushabiki...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jenerali Ulimwengu Oktoba 27, 2010 Jumapili, Oktoba 31, tunapokwenda kupiga kura kuwachagua rais, wabunge na madiwani tufanye hivyo kwa kuzingatia sheria kuu kumi zifuatazo: 1) Tambua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesikia leo Dr anatinga iringa kwa ngwe ya mwisho kuanzia majira ya sanane Ngoja niwasiliane na wadau uko watupe updates
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimefuatilia khali ya mambo inavyokwenda wakati tunakaribia kupiga kura nimeona dalili sio nzuri kabisa maana kuna kasoro nyingi mno ambazo ni riskfactors kwa vurugu hapa nchini. Nyingi ya kasoro...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Penye ukweli uongo hujitenga.......... Naomba mods musiifute hii post kwani hata serikali inaruhusu udini kujadiliwa ndiyo maana, al huuda,al nuur, habari leo au rai hawawezi kuchukuliwa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Tembea tembea yangu kwa vidole nimejikuta niko kwenye uwanja unaitwa Uturn.Katika kutakasa macho na mapambio yaliyoko huko ni kavutiwa na habari inayo muhusu January Mkamba na mipango yake ya ku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom