Navyamini mimi hakuna taifa lililopata maendeleo bila mabadiliko ya kisera na kiutekelezaji wa sera hizo kwani huenda sera zikawa zinafanana ila watekelezaji hawawezi kuwa sawa kwani wanadamu...
Waheshimiwa na ndugu zangu JF, salamuni popote mlipo,
Mnivumilie kwa maelezo marefu kani naamini mtakapomaliza kuyasoma wengi mtafurahi na kuboresha nilicholeta..
Kilio chetu siku zote...
ILIKUWA KAMA SINEMA NDANI YA TBC 1 Walipomuhoji CAG Bw Utouh juu ya madai ya Dr. Slaa kuwa Wilaya ya Bagamoyo ilitumia shs Milioni 700 kwa matundu manne ya choo. Jumla kwa vyoo vyote ni Bilioni 3...
Habari nilizo nazo ni kuwa kadi mpya za kupigia kura Tarehe 31-10-2010, bado zinatolewa kwa wapiga kura ambao sio rasmi( ambao hawatambuliwi na NEC). Lakini pia kuna tatizo kubwa sana,watu...
Jioni hii BBC wamemsusa dr Slaa hawajatangaza chochote kuhusu yeye. Wameokoteza vitu vya ajabu ajabu ambavyo havina mvuto kufananisha na jinsi Slaa alivyoteka tz Leo
Leo BBC imekuwa na mahojiano na mkuu wetu Maxence na ndugu yetu Zitto katika kipindi maalum kinachohusika na uchaguzi mkuu.
Hii ni heshima kwa JF kwamba inatambulika kwa mchango wake katika siasa...
WANAJF, MI SINA LA KUFICHA NAHITAJI MABADILIKO YA KWELI KWA HIO KURA YANGU SI SIRI TENA ILA NI KWA DR SLAA, JE NYNYI? DR SLAA NDIO MPANGO MZIMA.:israel:
Kura yangu ni siri isipokuwa kwa mgombea mmoja tu..... hili liko wazi wala sio siri tena.
1. Silali usingizi wa kutosha maana lazima nidamke usiku usiku kutokana na foleni.
2. Nikiugua sina...
Katika hali inayoonesha watanzania kuchoshwa na ubabaishaji wa Chama Tawala CCM, Watu mbalimbali mitaa ya Tanga wameendelea kukumbuka machungu waliyofanyiwa na CCM hasa kipindi cha miaka hii...
jAMANIN MI MTEMBEZI,Nipo matembezini nikifanya coverage ya uchaguzi.kama wengi mnavyojua jana Dr slaa alitakiwa kuhutubia katika viwanja vya mwembetogwa manispaa ya Iringa lkn hakufanya hivyo...
Nilikua naskiliza radio WAPO na mojawapo ya habari ni kwamba wananchi wa shinyanga wamebaini majina yao yakiwa yamebandikwa mara mbili katika vituo viwili tofauti; yaani jina lako linaonekana hapa...
1. Anawaponda wapinzani wenzake.
2. Amechuja kwa kugombea mara ya nne.
3. Alishatumika na Serikali bila mafanikio.
4. Chama chake(CUF) kina makubaliano na CCM huko Zanzibar,wakati CCM...
baada ya ya post yangu ya vilio na kusaga meno vya tawala ngome ya chadema pale mlimani, kuna watu walidiriki kusema mimi nia yangu ilikuwa mbaya kutoa taarifa ile eti nafurahia watu kukosa haki...
Nimepata taarifa kwamba msafara wa Mgombea wa Ubunge kupitia CHADEMA jimbo la Kibakwe wilayani Mpwapwa Kamanda Benson Kijaila Singo umevamiwa na Green Guards wakiongozwa na Kaka wa Mbunge...
Jumapili, Oktoba 31, tunapokwenda kupiga kura kuwachagua rais, wabunge na madiwani tufanye hivyo kwa kuzingatia sheria kuu kumi zifuatazo:
Tambua kwamba kura ni silaha takatifu inayokuwezesha...
Hii ahadi ni tusi kwa vijana wetu ambao kwa kuwepo kwao kwenye biashara hiyo si kwa kupenda bali ni mfumo m-baya wa utawala wa serikali ya CCM. Hivi RIZone naye ni moja ya walengwa wa hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.