Jamani, Huyu Mama atakufa kwa Pressure!!!!!!!!!
Juzi Dk. Batilda alivamia bila kualikwa katika mkutano wa Arusha Women SACCOS uliokuwa unafanyika pale Metropole na kuanza kujidai kuchangia mada...
:peep: Wakuu baada ya kufanya tathimini nzito na yakina si kama zile Synovate na REDET nimebaini bila shaka yoyote wala ushabiki nafasi ya ubunge Arusha bado iko wazi kwa wagombea watatu Bwana G...
Hivi kweli Rais wa nchi unaweza kuthubutu na kusema foleni za Dar ni middle class imeongezeka, for ur info ni kuwa this is among the shortfall ya serikali ya CCM,with PLANNING NA VISION sijui...
Wana JF,
Katika mahojiano ya JK na PowerBreakFast-FM, JK ameelezea swala la miundombinu Dar na ukiangalia kweli serikali itaimarisha miundombinu kataka hilo Jiji, which Means DAR-ES-SALAAM ndio...
baada ya kampeni za takribani mwezi moja ndugu wa tanzania tuna pande mbili ambazo ni moja tu unayo weza kuchagua.
upande wa kwanza ni kama unapenda ufisadi basi chama cha kukipigia kura unakijua...
Uchaguzi wa mwaka huu ni tofauti sana na chaguzi zilizopita kwa vile kwa maoni yangu nchi yetu iko katika njia panda.Kiuchumi,kisiasa na kijamii.Nina sababu za kutomchagua mgombea wa CCM kwa kila...
Hi Dr. Slaa.
Wishing you all the great things in life, hope this day will bring you an extra share of all that makes you happiest.
Goodlucky on 31st Oct 2010, Goodlucky CHADEMA.
Alhaj Selous
Tanzania's election
Promises, promises
Tanzania is still a backwater compared with its Kenyan neighbour to the north
Oct 28th 2010 | BUMBULI
THE parliamentary campaign in Bumbuli, a...
...... Kumchagua Mgombea wa Dini yoyote!.
Zikiwa zimebakia siku mbili kabla ya uchaguzi mkuu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Bin Simba, amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi...
dk slaa anasubiriwa na umati wa watu hapa mjini dodoma kwenye viwanja vya barafu, vinavyopakana na uwanja wa jamhuri; uwanja uliokuwa mali ya mlipa kodi wa nchi hii ukapokwa.
inesemwa ya kwamba...
1. Ameingia Ikulu 2005 kwa wizi wa kura.
2. Ameingia Ikulu 2005 kwa fedha za EPA.
3. Amekiuka katiba kwa kutetea ufisadi/mafisadi.
4. Uteuzi wake wa nafasi mbalimbali ni kwa uswaiba.
5. Serikali...
NEC yazuia mahafali ya wanafunzi
na Mwandishi wetu, Moshi
UPEPO wa kisiasa umebadilika katika Jimbo la Moshi Mjini ambako zikiwa zimesalia siku mbili tu Watanzania wapige kura, mgombea...
Pamoja na kuwa mimi sio mgombea wa kiti chochote katika uchaguzi huu, lakini kila muda unavyoenda na kusogelea uchaguzi
PRESHA INAPANDA:scared:
PRESHA INASHUKA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU...
1. Ni mwadilifu-maisha yake ni ya kawaida.
2. Hana tuhuma za mali isiyoelezeka.
3. Hajawahi kutumika/kurubuniwa na Serikali.
4. Ni mtu jasiri.
5. Amesaidia kufichua mchwa wa uchumi wa TZ.
6. Kwa...
Waandishi wetu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CUF, Prof Ibrahim Lipumba jana alitumia muda mwingi kuchambua kwa njia ya kejeli ahadi za mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete akitumia lugha na mifano...
Senior Member wa ZED ametundika thread juu ya wasiwasi ya Kuwa Tume Ya Uchaguzi NEC Tanzania na Mgombea wa Urais kwa CCM, kwa pamoja wanatumia huduma ya mawasiliano ya Intaneti inayotolewa na...
Katika moja ya sifa ambazo Hayati Baba wa Taifa alijijengea ni kutokumbatia mambo ya kipuuzi yaliyokuwa yakifanywa na Viongozi. Bado sijasahau namna Mwalimu alivyozima jaribio la kuunda Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.