Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa kweli sitanii, namaanisha kuwa suala la kuwa na ambulance karibu na wagombea urais ni muhimu kwani matokeo yakitolewa ya kweli yatashtusha mno.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ya JK ndio ilimfikisha mramba mahakamani kwa ubadhirifu, serikali ya jk ndio ilimlazimisha lowassa kujiuzulu, leo hii bila ya aibu anawashika mkono na kutuomba kuwachagua kuwa viongozi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dr slaa yuko live sasa agape television, ameanza kuelezea historia na maisha yake na kuhusu elimu yake
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania nafikiri utakubaliana nami nitakachokisema. Kitendo cha hivi karibuni cha Makamba kukimbilia upesi upesi kwenye tukio la mauaji ya Maswa na kusema...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jioni hii kuna mikutano miwili mikubwa jijini Mwanza. JK ametua kumpigia debe mgombea wake wa CCM Laurent Masha dhidi ya Wenje wa CHADEMA. Ujio wa Dk.Slaa pamoja kampeni ya nguvu dhidi ya...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
I am volunteer for Chris Cares International ( Chris Cares, Inc. ) a non profit organization which fight poverty through education in Tanzania. We have been voted the City of Boston's Volunteers...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Maoni yangu ~ mtu aitwe 'mheshimiwa' baada ya matendo yanayostahili heshima... kubandikwa cheo baada ya uchaguzi tu kinawafanya wengineo wavimbe vichwa na kuamua sheria za nchi haziwahusu... ama?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila kona ya Tanzania, Dr Slaa ameshakubalika, kuanzia mashariki, magharibi, kanda ya Ziwa, kanda ya kusini, kanda ya kaskazini, kanda ya kati mpaka Zanzibar. JK ajiandae kuachia madaraka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
:A S cry: Haya ni masikitiko sana kwa jinsi Wananchi wa taifa hili wanavyofanywa mazuzu na mbumbumbu kila uchao na viongozi hawa wa CCM na wananchi wenyewe hawajijui wala kujitambua kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna picha za akina mama wenye watoto hapa wanahudhuria mkutano wa campaign wa Dr Slaa. Picha hii imenifanya niadike thread hii. Kwa mda mrefu sana vyama vya upinzani vimekuwa vikipakwa matope...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dr. SLAA kama alivyokuwa Nyerere amesisitiza juu ya UONGOZI BORA lakini Kikwete amesisitiza juu ya UTAWALA BORA. Ki nadharia na kiutendaji hivi ni vitu viwili tofauti vilivyo pishana kwa mapana...
0 Reactions
0 Replies
18K Views
Nawapenda sana nyote, na upendo wangu kwenu utazidi sana mkitumia busara na hekima kumpeleka Dr Slaa ikulu ili kuiongoza nchi hii na kuisaidia kiMaendeleo na kujenga utu wa Mtanzania wenye heshima...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwenu wanaJF. Je ni sawa kuwepo kwa mdahalo kati ya CCM na vyama vingine vya upinzani??? Nimependa niweke mada hii kwa mambo mawili.. matatu yafuatayo: - Kwanza: Kuweka mdahalo kati ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeikariri kwa wanabidiii From: Mike Mande <mand...@yahoo.com> Date: Mon, 25 Oct 2010 07:25:35 -0700 (PDT) Local: Mon, Oct 25 2010 5:25 pm Subject: Re: [wanabidii] Mdahalo wa wagombea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ee Mungu, mweza wa yote, muumba wa mbingu na nchi. Najinyenyekeza mbele zako kwani najua we ni mkuu haufananishwi na chochote. Naomba uifanye kura yangu sawa na kaa la moto kwa wale watakaotaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Napenda kuwafahamisha kuwa kesho Dr. Slaa atakuwa viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam ambapo atakuwa LIVE ndani ya TBC1 pia kuanzia saa 10 jioni kwa muda wa masaa 3. Aidha...
0 Reactions
181 Replies
19K Views
Yaani huwezi amini. Zikiwa zimebaki siku 5 tu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA bado hawajafahamika mpaka sasa. Mimi nipo katika mkoa wa Dar es salaam. Na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom