Vuguvugu za Watanganyika kutaka uhuru 1961 zinafanana na vuguvugu la mwaka huu 2010 wa uchaguzi ambapo Watanzania wameonyesha uchu na matumaini ya kufanya mabadiliko makubwa.
Mwaka 1961 Mwl...
MAMBO AMBAYO UNATAKIWA KUJUA KUHUSU KURA YAKO:
Na. M. M. Mwanakijiji
Kura yako ina nguvu gani na kwanini?
1. Kura yako ndiyo lugha pekee ambayo wanasiasa wanaielewa. Wanasiasa wote duniani...
Katika hatua za kumalizia ushindi, namshauri Rais mtarajiwa na kampeni meneja wake, warushe vipindi vya televisheni kila siku kuanzia leo hadi tarehe ya uchaguzi. Hii itasaidia watu ambao...
Leo ni siku ambayo"kiongozi wa mkuu anawasili katika jimbo la busanda katika kata ya nyarugusu"vijana wengi hawaoneshi msisimko wowote ambao watu wengi wamechoka na chama cha ccm mpaka wazee nao...
Ukiangalia trend ya kisiasa hapa nchini unapata wazo kwamba mwaka 2015 CCM inaweza kuzikwa rasmi. Premise hii naijenga kutokana na ukweli kuwa 'voting age' inayokipenda Chama Cha Mapindizi...
JK atangaza kumaliza tatizo la maji umasaini
Kizitto Noya, Simanjiro
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete jana aliendelea na kampeni katika Jimbo la Simanjaro...
miongoni mwa kauli zilizonifurahisha zilizotolewa na dk ws kwenye mahojiano ya moja kwa moja aliyofanya na kituo cha runinga cha itv hivi karibuni, ni kauli yake hiyo ya kutokukubali damu ya...
Shibuda azushiwa tuhuma nyingine
Zulfa Mfinanga, Shinyanga na Frederick Katulanda, Mwanza
HALI ya kisiasa kwenye Jimbo la Maswa Magharibi bado ni tete baada ya mgombea ubunge kwa tiketi...
"Nimeingia Maswa na kukutana vurugu za kisiasa kati ya CCM na CHADEMA,vurugu hizo zimepelekea watu kadhaa kujeruhiwa na dereva aliekuwa anaendesha gari la kampeni la CCM kuuawa na wafuasi wa...
Monduli wanaishi maisha magumu.
Tanzania bila CCM inawezekana, na kuendelea kukaa na CCM ni maafa makubwa.
Kama ningesema uongo kuhusu ufisadi wa JK na waswaiba wake, mbona sichukuliwi hatua...
Jamani watanzania wengi wanaitaji kumuona dr slaa..km kuna mtu anajua ratiba ya dr,bas atufahamishe lin ataenda huko lindi,mtwara,ruvuma.najua ruvuma alienda songea na mbinga masharik tu,vp kuhusu...
Baada ya maswali mengi kuzagaa kuwa wastaafu wa CCM na serikali yake aidha wamemsusa JK au wamesoma alama za wakati na kuingia mitini, Raisi Mstaafu Mwinyi alionekana ITV taarifa ya saa mbili...
Salaam,
Sote tumeona kuwa kumekuwa na unfair coverage (very biased) kwenye media ya Tanzania kuhusu kampeni za uchaguzi zinazoendelea. Coverage yenyewe imekuwa na lengo la kuibeba CCM na Kikwete...
Mgombea Ubunge wa Chadema jimbo la Maswa Magharibi John Shibuda ameachiwa huru na kusema kuwa kukamatwa huko na kuwekwa ndani kumempatia umaarufu hivyo atashinda.
Ikiwa zimebaki siku chache kabla kupiga kura wanaJF nawakumbusha kuhakiki majina yenu kwenye vituo vya kupiga kura,ili kama kuna dosari ishugulikiwa mara moja.Ili tuweze kufikia malengo yetu ya...
Hivi ni mara ngapi katika hotuba Ndg Maalim Seif husema neno sawa sawa mi naanza kumbatiza Jina Maalim Seif bin Sawa sawa! so itakuwa pale umati utakapojibu si sawa nathani mziki wake utajulikana...
Kwa mujibu wa makahama kuu kanda ya Arusha iliyoketi kwenye kesi ndefu zaidi ya uchaguzi kuliko zote kuwahi kufanyika kwenye historia ya taifa hili la Tanzania ni kuwa Jaji Makaramba ametoa hukumu...
Na Mashaka Mgeta
24th October 2010
Akiwa njiani kutokea Sumbawanga mkoa wa Rukwa, Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais...
Enyi wana wa nchi
Nchi yenu i uchi
Mabedui wanaisachi
Toka enzi i bichi
Wameishika pabaya
Waichezea ka' malaya
Mwasikia enyi wa kaya
Chonde muyaelewe haya
Ndipo ikaja sauti
Thamani yake Yakuti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.