Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
BBC wametangaza kuwa yule pweza aliyejipatia umaarufu wa kutabiri kwa usahihi mechi za kombe la dunia amefariki dunia. Inaweza kuwa na tafsiri yoyote kwa utawala wa miaka 50 wa CCM?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu Zangu, Jana tumesikiliza mdahalo, au labda mazungumzo au mahojiano kati ya Dr Slaa ( CHADEMA) na Rosemary Mwakitwange. Mahojiano yaliyoruhusu wengine kuchangia kwa njia ya simu pia...
0 Reactions
164 Replies
14K Views
Kwenye mikutano ya kampeni inayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 31, kati ya ahadi nyingi anazotoa Kikwete ni kuzipandisha daraja hospitali kadhaa kwenye maeneo ambayo amekuwa akifanya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
:rain:Karibu Rais wetu Dr Slaa! :director: Huyu ni mtanzania wa pili baada ya Nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo. Ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo. Ni Dr...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
CD ZA MDAHALO WA DR SLAA Napenda kuwajulisha kwamba CD za Mdahalo wa DR W P Slaa sasa ziko Tayari kwa ambaye atakuwa anazitaka anaweza kupiga namba 0766 334049 au tuma email kwenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, wapenda haki: Kuna taarifa kwamba kuna baadhi ya mitandao ya simu za mkononi zitafungwa kuanzia jioni siku ile ya kupiga kura (wakati wa kuhesabu kura) ili kusiwepo mawasiliano kati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uchaguzi waja, kura ni muhimu... Lakini wananchi wenzangu - hata ka tulikuwa na viongozi wabaya miakani ilopita na mola forbid, labda miakani ijayo... Lawama si zote kwao, wakati wengi tuliketi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SIKU moja baada ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, kunadi sera zake kwa njia ya mdahalo uliokuwa ukirushwa hewani moja kwa moja na...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
just like yesterday YouTube - Romanian Dictator Nicolae and Elena ceausescu executed.
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Nimekuwa nikisubiria marudio ya mdahalo wa Dr slaa kupitia ITV usiku huu ila nimekutana na tangazo kuwa hayatakuwepo, badala yake naona mieleka
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Polictial Games by Lucky Dube How do you feel when you lie? Straight faced while people cry How do you feel when you promise something That you know you'll never do Giving false hope to the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ukitaka kujua kuwa Mr kubenea habaatishi habari zake hebu jiabarishe na hii habari hapa chini Mwanasheria Mkuu akutwa kambi ya CCM Na Saed Kubenea - Imechapwa 20 October 2010 Gumzo la Wiki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
FACTBOX-Tanzania's mining, oil and gas industries DAR ES SALAAM Oct 22 (Reuters) - Here are the main facts about Tanzania's mining, oil and gas industries. MINING *...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JK amewaahidi wakaazi wa Simanjiro kuwarudishia ardhi iliyoporwa na wawekezaji wa TANZANITE ONE mara baada ya mwekezaji huyo kumaliza kuyachimbua madini yote ya TANZANITE yaliyomleta hapa nchini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Uchaguzi 2010 Ahadi za wagombea urais Ahadi za Mzee slaa zinavutia .. 10 & rahisi kutekelezeka Ahadi za lipumba za kusadikika bado msimamo wangu uleule hamna elimu bure chuokikuu sijapata kuona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninapenda nitumie nafasi hii kama mwana JF mwenzenu tuache kwa dakika chache mambo ya uchaguzi ambao unamaliza utawala wa miaka 50 ya CCM. Zimebaki siku 4 tu kwa CCM kumaliza utawala wake wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naifuatilia BBC kwa makini tangu jana ila napata wasiwasi kama wapo balanced kwenye habari zao. Wanajifanya kama vile wanachambua wakati wanahitimisha kwa ushabiki. Leo ilikuwa mara ya pili...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Baada ya mdahalo wa mgombea Uraisi wa chama cha CHADEMA siku ya jumamosi, niltembelembelea mitaa siku ya jumapili ili kupata maoni ya wakazi wa jiji la DSM, nikafika katika masakani ya wavuta...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadhamini wasweka rumande kwa kuvaa suruali mlegezo James Magai MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala Ijumaa iliyopita iliwasweka mahabusu siku 14 wadhamini wawili wa mshtakiwa baada ya kuingia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom