Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Eti kwa kuhakikisha kuna usalama siku ya uchaguzi askari mgambo wa jiji wametakiwa kuripoti kwa wakurugenzi wa manispaa za jiji la Dar ili waweze kushiriki katika ulinzi siku ya uchaguzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJf nimesoma moja ya thread watu wanalalamika kuwa majina yao hawajayaona pale nkrumah hall. Jamani wale waliojiandikisha pale nkrumah na ambao 2005 walipigia kura hapo kituo kimehamishiwa pale...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna viongozi wa ngazi mbali mbali wa CCM ambao aslani hawapendezwi na miendeno ya viongozi wa CCM ya sasa aka CCM - Kikwete (BMW). Naamini kabisa wapo wengine wanajiandaa kuhamia CHADEMA (kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAPIGANO CCM NA CHADEMA YATIA DOSARI KAMPENI MASWA Kampeni za Ubunge katika majimbo ya Maswa Magharibi na Maswa Mashariki ambazo ziliingia dosari na kusimama kwa muda tangu Jumatano...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani kweli naamini watanzania wamechoka leo nilikuwa huku shinyanga vijijini kwa ajili ya kuwaelimisha vijana umuhimu wa kuhudhuria kupiga kura siku ya jumapili,mida ya jioni nikajisogeza...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana tulipata taarifa humu kwamba mdahalo wa Dr. Slaa ungerudiwa jana kuanzia saa 4:45 usiku. Ilikuwaje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau checkini hii video ya wosia kwa wanachama wake..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
26th October 10 Kamati NEC yashauri Chadema ienguliwe Waandishi Wetu Chama Cha Demokrasia na Maedeleo (Chadema) kiko hatarini wagombea wake wa ubunge na udiwani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana, kadri miaka inavyosogea, ndugu zetu watanzania weney asili ya kiasia wanajipenyeza kwenye nafasi mbalimbali kupitia vyama, hasa chama cha mapinduzi. Ila kwa mwaka huu, kuna kitu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu wanzegu wa JF na watanzania wote kwa ujumla wenu, yale yaliyosemwa sana kwamba JWTZ wanawekwa chonjo ktk uchaguzi huu, ni ya kweli tu. Nimeshuhudia kwa macho yangu pale Lugalo jeshini mida...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Watanzania inabidi tuone kuwa Ufisadi ndio chanzo na msingi wa mgawanyiko wa Kitaifa unaotishia nchi yetu na tutambue kuwa mafisadi sasa hivi tayari wanafaidi mgawanyiko huo na kuwa wangependa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAADA ya kusisitiza kauli yake ya kuuza saruji kwa Sh 5,000 kwa mfuko mmoja akiingia madarakani, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, Dk Willibrod Slaa, ametakiwa aache kujadili masuala ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuonesha kuwa NEC siyo chombo huru na ni part ya CCM tulitazame hili kutoka Chanzo cha NIPASHE newas paper! Ni kutokana na vurugu za Maswa Shibuda, mgombea CCM waachiwa DCI Manumba asema hana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Gazeti la Tanzania Daima limetuhabarisha leo ya kuwa Dr. Slaa katika mkutano wake wenye mafanikio makubwa kule Zanzibar aliwaahidi wazenji hao vinono kubekebe vikiwemo vya kuaachiwa kufaidi mafuta...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
yapo madai kutoa sehemu mbali mbali kuwa viongozi wa ccm wakiwemo wajumbe wa nyumba kumi kumi wanapita mitaani wakiwa na mfano halisi wa karatasi za kupigia kura zilizotolewa na tume ya uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KIONGOZI BWM Vs JK MWAKA 2000 -2004 Vs 2005-2009 Unga 460 Vs 1000 = 217% Mchele 600 Vs 1200 = 200% Sukari 760/kg Vs 1600/kg = 210% Mkate 250 Vs 700 = 280% Maharagwe 360/kg Vs 1000/kg =...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimelipitia toleo la mwezi huu na kukuta mmiliki wake akisema wao kama gazeti wanampitisha JK kuwa mgombea anayefaa. Kisheria hii ni sawasawa kweli au haya magazines hayabanwi na sheria kama ya...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
SERIKALI YATEKELEZA KAULI ZA DR SLAA NA SERA ZA CHADEMA TAYARI!! Serikali ya CCM wanakimbiana kutokana na Nguvu na ukweli wa Uwezo wa Dr Slaa, yaogopa kila kitu kinachosemwa katika Sera za...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
A. Kinana ameonyesha umahiri mkubwa kwa wakubwa wake ndani ya CCM kwa kuandaa mkakati maalumu wa kuhakikisha kuwa siku tatu za mwisho za kampeni, tarehe 28,29 na 30 Oktoba CCM inafanya 'suprise'...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
As the last minutes of the long waited elections of 2010 are about to arrive, regardles of the outcome, there is need to now continue with the focus of democraticizing Tanzania and focus on the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom