Takribani juma moja tu limebaki kabla ya uchaguzi mkuuTunashuhudia mambo yakizidi kupamba moto kwa kuendelea na kampeni, na gumzo kubwa ni pale Dr Slaa alipofanya mahojiano live na wapiga kura...
KUSEMA MAISHA YAMEKUWA BORA BAADA YA MIAKA 5 YA CCM MADARAKANI NI KEJELI.
Taifa lipo kwenye hekaheka za kampeni za uchaguzi, Taifa linarindima kwa vishindo na kelele za wagombea, vumbi...
Wandugu nimeona hili kwa RAIS ajaye achukue kama lilivyo kwani nimeona nchi nyingi kwasasa wanavuna mihela USD na uchumi kuwa juu sana ukilinganisha na Watanzania tunaobaniana kwa ajili ya maslahi...
Akijibu swali la Mwanachama mfu wa CCM (A, Lwaitama), Dr Slaa alisema, kisaikolojia hiyo ni hulka ya binadamu kuogopa asipokujua,
lakini ni kweli watu hawakujuhi huko?
Miongoni mwa sifa kuu za...
Sisi watanzania tumepatiwa malezi mema ya kupendana na kuthamini utu na ubinadamu. Ili kulinda na kutetea hali ya amani na utulivu watanzania tumelelewa na kufunzwa kuviheshimu na kuviamini vyombo...
Wakuu huu uchaguzi kwa kweli unaelekea waweza kuwa na zengwa yaani vyombo vya habari kama BBC, CNN etc hawafuatilii uchaguzi huu kabisa yaani kwenye website zao hawana article zozote zinazogusia...
Kutokana na kazi nzuri sana aliyoifanya bungeni kuhusiana na utetezi wa Watanzania juu ya rasilimali zao, kuikalia serikali kooni na kuiwajibisha vyema mbele ya wananchi. kuleta hamasa kubwa na ya...
Jamani, sijasikia lolote wala kuwaona viongozi wetu wakubwa kama B. Mkapa, A. H. Mwinyi,spika, na wengine wengi katika kampeni za kumnadi mgombea urais CCM. kuna mtu anajua lolote mtu amelisikia?
Jana nipata wasaa wa kuongea na marafiki zako walipoko moja ya kambi za jeshi hapa Dar na wakabainisha wazi kuwa mwaka huu wamefurahi sana kwa vituo vya kura kuwa uraiani tofati na chaguzi...
Jana waziri wa nishati na madini William Ngeleja alikaririwa navyombo vya habari akisema kwamba Tanzania inapata kati ya asilimia 30-40 ya thamani ya mauzo ya dhahabu na siyo asilimia 3 kama...
1. Kabadilisha mfumo wa CCM
a. Yeye yuko kwenye kundi la CCM JK Family
b. Kamati kuu ya CCM kwa sasa ina wajumbe wawili tu (JK na Mama Salma)
c. Halmashauri ya kuu ya CCM ina...
Kwa taarifa nilizo pata toka kwa prime minister wa UDSM ni kwamba,ingawa maandamano yame zuiliwa,.. kesi ya kucheleweshwa kufungua chuo na hivyo kunyima wanafunzi kupiga kura ina funguliwa leo!!
Kuna habari kwamba sie watumiaji wasimu hizi za mobile huwa tunachangia CCM kwa kukatwa kiasi fulani cha pesa bila kujua.
Kwa mujibu wa vijihabari vilivyopatikana toka kwa watu wa makampuni wa...
Naye Kikwete, akiwa Simanjiro mkoani Arusha, pamoja na mambo mengine, aliahidi kutafuta Sh30 bilioni kwa ajili ya kumaliza tatizo la maji kwenye jamii ya wafugaji.
Akizungumza kwenye viwanja vya...
Truth or Lies?
People (for purpose of politcs; politicians) make things say or appear to be whatever they want them to say or be. The reality is that we see things not the way they are but the...
Yote yanayotokana na uchaguzi huu - kampeni, accusation za wizi wa wake za watu, accusation ya familia kupiga kampeni, kushikwa kwa lori Tunduma lenye kadi za kupigia kura zenye "ndiyo" kwa...
Wadau,
Kama tunavyoona, moto waliouwasha Chadema baada ya kumteua Dr Slaa kugombea urais umeanza kuwa mkali kila kukicha. Inaonekana kama vile Watanzania wengi wanataka mabadiliko, lakini hiari...
Jamani wana JF, kuna yoyote mwenye taarifa za Mrs. Mkwere?
Naona taarifa zake kwa media zimekuwa adimu kama za Kim Jong Il wa Korea Kaskazini.
Au Kampeni za Chini Kwa Chini?
Kama kuna kosa amabalo imelitenda CCM kwa mwaka huu wa uchaguzi,ni kumchagua JK kugombeea nafasi ya Uraisi kupitia CCM.Inaeleweka hii ni kutokana na mazoea kwamba mtu anaepitishwa na CCM inabidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.