How opinion polls get it all wrong
UDSM LAW PROFESSOR DISMISSES LATEST REDET POLL AS UNRELIASTIC
By ThisDay Reporter
12th October 2010
THE much-criticised opinion poll by the state-run...
Kibosile wa TBC1 leo asubuhi alikuwa na wakati mgumu wa kutetea utafiti wao ambao alidai ni wa kitalaamu lakini alishindwa kujibu hoja za kimsingi kutoka kwa mwanahabarishaji wa TBC1 Bw. Gabriel...
Nilibahatika kuwapa lift Askari wawili wa JWTZ waliokuwa wanatoka kazini huko Monduli. Kwa kuwa kuna joto la Uchaguzi Wajeshi hao walikuwa na interest sana kujua tutampigia kura nani kwa Urais...
Siku ya kuapishwa Dr Slaa nitakua Dar na DJ wa wimbo huu, vijana kwa wazee wataufurahia.
http://www.youtube.com/watch?v=4FLhAlmePvI
whoa oh whoa oh whoa oh whoa yeah
whoa yeah
whoa oh whoa oh...
Hii nimeiokota kutoka Michuzi:
Tamko la TCRA kuhusu ujumbe wa simu unaowachafua baadhi ya wagombea wa Uraisi 2010
Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania...
KATIKA miezi ile ya mwanzo baada ya kuingia Ikulu, Rais Jakaya Kikwete aliwashangaza wengi alipoitangazia dunia kwamba haelewi ni kwa nini Tanzania ni masikini.
Huo ukawa ndiyo mwanzo wa...
tusimpe nafasi shetani ya kulimeza taifa lenye amani kwa udanganyifu wa sera zisizotekelezeka wanazotoa upinzani.
pasipo kikwete na ccm taifa hatarini
my take
hii msg wamenitumia ccm kama nusu...
Kuna habari za kuaminika kuna watu mamluki wametumwa na Kamati ya Kinana ya CCM (Kampeni) kuwa wajiandikishe Jamii Forums na kazi yao ni kuipigia CCM tu ili kuhakikisha by 31st October Mzushi JK...
Wana jamii,nimewaza sana bila kupata jibu.Je watu wote wanaohudhuria kampeni za Urais wa SISIMU wanaenda kusikiliza na kufuta nini.Mi nadhani kwa mtu mwenye uelewa mzuri hana haja ya kusikiliza...
Nimefuatilia kwa karibu timu ya propaganda ya chama cha chadema, magazeti wanayotumia,forum wanazotumia, ni kweli kwamba chadema wanao mtambo wa kutunga uongo. Staili ambayo Hitler yule dikteta wa...
Hivi nini hasa nchi hii inahitaji?Msije kuniambia siasa na uongozi maana woooooooooooooote wezi!
Nimeuliza hili swali watu wengi sana ila sijapata jibu zaidi ya kuzunguka zunguka.Nimekuja hapa...
Kukubalika kwa CCM kuna sababu kuu tatu
Chama kina sera nzuri
Mgombea wake anakubalika na ana mvuto
Kimuundo na historia ya kutetea wanyonge na kuleta maendeleo.
Sera za CCM ni zile ambazo...
Kikao cha kamati kuu ya CCM kilifanyika siku ya jumapili hapo ikulu. Wana JF naomba mwenye fununu ya agenda zilizojadiliwa na yaliyojiri kwenye kikao hiki atujulishe.
WanaJF mie ninapata mashaka kama kweli katika nchi yeyote nusu ya watu wake wakawa wamejiandikisha kupiga kura, maana tunaambiwa Watanzania tunakadiriwa kufikia milioni 40 huku vijana wakikadiriwa...
JK kwenye kampeni zake leo Songea, kwa kujisahau au makusudi kwa kujua watanzania ni majuha, amezidi kutoa ahadi kwa mambo ambayo bunge limeshayapitisha. Leo anasema akiwa rais ataipandisha hadhi...
Siku kadhaa zilizopita nilibahatika kumsikia Waziri mwenye dhamana na Elimu ya juu, Prof. Maghembe akitamka kupitia vyombo vya habari. Miongoni mwa mambo aliyotamka ni pamoja na kuwa "wanafunzi wa...
WanaJF, ningependa kubainisha wazi kuwa nimekuwa mwanachama wa CCM lakini nimeamua kwa hiari yangu kabisa kutumia haki yangu ya kikatiba kumpigia kura Dr Slaa (Urais) na Bw Mnyika (Ubunge)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.