Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi (12/10/2010) kuna picha kubwa ikimwonyesha Chipukizi: katika kampeni kuna mashabiki/ wanachama wa CCM wengi wao ni akina dada wametandika chini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ASKOFU mkuu wa kanisa la full gospel bible fellowship.Zacharry Kakobe, ameibuka na kuwataka watanzania kutoogopa kufanya mabadiliko ya utwala wan chi kwani ndiyo siri ya mafanikio kote duniani...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
CCM ni CHAMA cha KIMATAIFA ==SMS CCM imekazana baada ya kuona maji yamekuwa ya shingo badala ya miguuni!! Usiku wa leo nimetumiwa meseji mbili., moja ilifika saa tisa dakika 26 ikieleza kama...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Imetangazwa na Synovate mchana huu KIkwete - 61% Dk Slaa - 16% Prof Lipumba - 5%
0 Reactions
133 Replies
11K Views
Mambo Kumi Muhimu Kuhusu Dk Willibrod Peter Slaa 2 Dk Willibrod Peter SLAA 1. Anachokisimamia  Dk Slaa anasimamia maadili, uadilifu, uamakini na uwajibikaji katika uongozi wa nchi na...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wadau Kwanza habarini! Poleni sana na harakati za kumsapoti Raisi wa watanzania kuingia Ikulu, Raisi Mwenye PHD ya ukweli ( siyo fekifeki za kuchakachuliwa). MADA: Kwa mtizamo wangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo hii ningependa kufunguka namna hii na kuwataka watanzania waelewe sababu kubwa ya kumchagua kikwete ni mengi ameyafanya kwenye taifa letu tukufu la Tanzania licha ya kuwa alikuwa nguvu ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
HATUJAFANYA UTAFITI: SYNOVET Kwa wale wenzangu ambao mnafuatilia vyombo vya habari, haijapita wiki mbili tangu kampuni ya Synovet ilipotamka wazi kuwa hawajafanya utafiti kuhusu wagombea wa Urais...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwenye Macho Haambiwi Tazama Makala hii inakusudia kutazama japo kwa ufupi tu jinsi miaka arobaini na Tisa (49) ya kujitawala kwetu ilivyokwamisha au kurudisha nyumba maendeeo ya taifa letu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwaka 1994 mauaji ya kimbari yametoka Rwanda na maelfu ya Wakimbiza walikuwa wamevuka kuja magharibi mwa nchi yetu. Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa Rais na Wabunge ndani ya mfumo wa vyama vingi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
In effort to support CCM and JK outside Tanzania and Zanzibar, I'm glad to announce that I'll be traveling to Kingson, Jamaica this weekend to join my fellow CCM faithfuls in celebrating the grand...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Yule mwimbaji wa CCM sijamsikia kipindi hiki .Kulikoni? Yu wapi?
0 Reactions
34 Replies
6K Views
From NASONGELYA KILYINGA, Songea, 1 1th October 2010 Source: Daily news THE Union Presidential aspirant on CCM ticket, Mr Jakaya Kikwete, has slammed opposition presidential candidates for...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nikiwa kati ya WATU waliohudhuria mikutano ya kampeni hasa ya urais,nimeona mengi,nimesikia mengi,ahadi kemkem,tam,nzuri na zenye kuvutia na kama JK,SLAA au LIPUMBA mmoja wo akishinda na...
0 Reactions
93 Replies
10K Views
Mambo SUGU huko mbeya Town.Karibu: JOSEPH MBILINYI ( MR II ) AWAKUNA WANANCHI WA JIMBO LA MBEYA KATIKA MDAHALO ULIO FANYIKA HAPA JIJINI
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi huyu jamaa ni mpiganaji wa kweli? Anatumika sana kwenye matangazo ya kukemea utawala mmbovu. Matangazo ya kuhimiza watu wakapige kura matangazo ya kupambana na ukimwi. n.k n.k..... La...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mama salma kikwete amewaomba akina mama mkoani shinyanga kuwasihi vijana wao kukipenda ccm kwa kuwa hawajui na hawaoni mambo mazuri yaliyofanywa na ccm.Hii inatokana na ukweli kwamba kwa sasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimepata taarifa muda si mrefu kuwa baada ya Dr.SLAA kumaliza kampeni kigoma kijana machachari mbunge mtarajiwa Zitto Kabwe leo anaingia jimbo la Bukombe kuongeza nguvu kwa mbunge mtarajiwa Prof...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Huu ni mwanzo mzuri katika kurudisha jimbo la musoma kwa wapinzani. CHADEMA mbele nyumba mwiko. Source: Vincent Nyerere apita bila kupingwa
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nadhani Shimbo na wenzake wangewakamata mara moja akina Kikwete na makada wengine kwani wameshaweka hadharani kuwa Watamwaga damu kama wananchi watachagua Chama Pinzani, Chadema. Wanaposema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom