Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa jinsi ninavyoichukia CCM kwa mabaya wanayoifanyia nchi hii na wananchi wake yaani we acha tu!! Nimeamua kwamba nikishainyima kura CCM 31st October, 2010 (of course tangu mfumo wa vyama vingi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya wadau wa technologia na TCRA kuhangaika kwa siku kadhaa, baathi ya wadau wamegundua kuwa number iliyotumika possibly niya Finland. mchakato unaandaliwa kuwasiliana na network za...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo kwenye Channel Ten jioni, Mheshimiwa Komba aahidi wanajimbo lake kuwa serikali ya CCM itajenga bandari kubwa na yenye heshima kuliko ile ya Malawi wakati ambapo chini ya wiki moja Mheshimiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu jamaa haumi umi maneno msikilize kuanzia dakika ya 4! mauwaji ya waislam na CCM
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani kuna ukweli wowote kuhusu kuzuiliwa bandarini kontena la chadema lenye KADI,TSHIRT,KOFIA NA BENDERA from China mana nimekuwa nikipita makao makuu kuhitaji baadhi ya vitu naambulia tetesi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa nini kikwete anapingana na matamshi yake? Hii imekaaje Wana JF? KAULI YAKE KWA WANA CCM "SUALA LA URAIS NI SWALA LA KIFAMILIA" KAULI YAKE KWA WATANZANIA " MSICHAGUE MTU MCHAGUE...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa nini kikwete anapingana na matamshi yake? Hii imekaaje Wana JF? KAULI YAKE KWA WANA CCM "SUALA LA URAIS NI SWALA LA KIFAMILIA" KAULI YAKE KWA WATANZANIA " MSICHAGUE MTU MCHAGUE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa muda wa week mbili sasa magazeti yamegubikwa na utata wa report za synovate and redet juu ya nani yuko juu katika uchaguzi 2010. Ukweli ni kwamba wengine hatukujua wala kupata nafasi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana mkurugenzi wa Nec alidokeza kwamba"Vyama vya siasa vinatakiwa kuweka mawakala waaminifu ambao watakuwa tayari kuweka mbele maslahi ya vyama vyao kwa kuwepo vituoni na kuepuka vishawishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Halima mdee na J mbatia, wanadaiwa kugawana kura na kumuacha ccm akipeta Hali kama hiyo ipo na ubngo, Mtatiro na myika Segerea mpendazoe hoi Kwa Zitto hali si shwari kabisa hadi anafikia...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Jamani, kila ninapopita hapa mjini na mikoani, CCM wameweka mabango yao either kwa waosha magari wa mitaani au wafanyabiashara ndogondogo ( hasa katika maeneo ambayo hayaruhusiwi) Swali. Je ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vox Populi Vox Dei ............Latin pouvoir populaire .............French. Viongozi wote waliopo madarakani duniani huogopa Misemo hii. Sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Haiishindwi hata kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia kwa makini hii ripoti ya Synovate na kugundua mambo yafuatayo: 1: Pamoja na kuwa na wabunge wachache katika bunge lililopita 2005-2010, kutoka vyama vya upinzani, wabunge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Source: The Guardian 12/10/2010/ :: IPPMEDIA. What about Tanzanian tax payers money?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu mwana JF nadhani umekuwa ukifuatilia vizuri hizi kampeni za ccm zinavyokwenda mimi ninajiuliza baada ya hizi kampeini je A.Kinana atapewa kazi gani kama ikitokea CCM ikashinda??maana yeye...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Juzi niliingia duka la mhindi mmoja nikiwa natafuta kitu fulani. Nilishangaa kuona nguo za kijani nyigi zikiwa kwenye shelf, nilipouliza je anauza, aliniambia haziuziki, ila tunatoa bure kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hayo maneno ni swali la abiria tajiri wa Titanic kabla ya kupanda meli hiyo na jibu la kujisifu kutoka kwa injinia aliyeshiriki kujenga meli hiyo. Lakini furaha yote iligeuka kuwa majonzi makubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ahadi alizo zitoa 2005 zimetimia kwa 3%, na ni baadhi tu ya ahadi hizo ambazo zimetimia kwa kiwango hicho, mfano wa ahadi zilizotimia kwa kiwango hicho ni ahadi ya kutoa mikopo kupitia mamilioni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nawashauri vijana kote nchini hasa kwenye majimbo ambako CCM hawapui, waviache vitambulisho vya kupigia kura majumbani badala ya kutembea navyo. Hii ni kwa sababu katika maeneo hayo vijana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom