Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimekuwa nasikiliza kampeni za wagombea urais mbali mbali kunadi watakachokifanya kuboresha hali za Watz walio masikini, lakini sijamsikia mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete akiahidi kwamba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kila siku,hawa wenzetu wa chama cha nambari wani wametumia/watakuwa wametumia shilingi ngapi kwenye huu uchaguzi hadi uishe? na hizi hela wametoa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna hili sakata la wanavyuo kushindwa kupiga kura kutokana na vyuo kuchelewa kufunguliwa, mpaka sasa sijapata habari zaidi ya ile walipokwenda kwa waziri mkuu, je kuna kinachoendelea? na kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana Jamii wote na wapenda maendeleo nina wazo moja.Naomba uongozi wa juu wa Jamii forums utoe publically utafit na kura za maoni kama walivyofanya REDET na Synovate.Nadhani hamna kikwazo chochote...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Walioandikishwa kupiga kura milioni 19.6 Wanachama hai wa vyama vyote vya siasa takribani milioni 7.6 Wasiokuwa wanachama milioni 12(?). Hawa ndio deciding group. Huwa hawapigi kelele...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimemsikia Mwenyekiti wa NEC aliyeteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye wadhifa huo, Lewis Makame ktk Channel 10 leo usiku akisema tume yake haina uwezo wa kuwasaidia wanafunzi wa vyuo kupiga kura...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii threadi imeniliza sana. Naandika hapa kuonyesha hisia zangu kutoka ndani ya moyo wangu. Imeguza hisia ya kila Mtanzania mwenye moyo wa nyama. Hii ni threadi ya watanzania wote. Ombi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika Kata Kumi za Jimbo la Kigoma Kaskazini Tarehe:10-10-2010 Mkutano wa Kumi na Tatu wa Dr.Slaa Jimbo la Kigoma Kaskazini-Kata ya Mwandiga
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya mbinu chafu za CCM kujulikana za kuwaandaa wapigakura kuyapokea matokeo yaliyo batili katika uchaguzi mkuu kwa kupitia vyombo vilivyokithiri kwa ufisadi vya REDET na SYNOVATE yenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Maudhui ya shairi la wanafunzi yamchefua DC Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Henry Clemens, juzi aligeuka mbogo baada ya kukasirishwa na shairi lililoimbwa na wahitimu watarajiwa wa Kidato cha Nne...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
If the United States of America or Britain is having elections, they don't ask for observers from Africa or from Asia. But when we have elections, they want observers WHY?
0 Reactions
2 Replies
929 Views
Na Saed Kubenea Imechapwa 06 October 2010 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetwishwa tuhuma nzito za kuandaa mipango ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu ili kionekane kimeshinda, MwanaHALISI...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ya Kikwete kama ya Mugabe? Na NdimaraTegambwage - Imechapwa 06 October 2010 Uchambuzi YALIYOTOKEA Zimbabwe kwa Robert Mugabe na ZANU-PF, ni kama yale yanayotokea Tanzania kwa Jakaya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kwanini serikali ya chama cha mapinduzi inadhani kuwa wao pekee ndio wenye monopoly ya vyombo vya habari hapa nchini? Nalisema hilo kwasababu chini ya utawala wa rais Mkapa, mara nyingi kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Source: TBC1 Habari ya saa 2 Yuko kitandani anaumwa.... TBC wameonyesha kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku. ANACHEZA NA MUNGU HUYU!!!!!!!!!
0 Reactions
104 Replies
12K Views
katika kile ninachokiona kama utapeli uliokubuhu wa serikali ya CCM kwa vile hawana kitu cha ukweli cha kushikia na ni maisha waliyoyazoea kudanganya....hivi karibuni ilitoa waraka kwa vituo na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mabomu yawatawanya wafuasi CCM, Chadema Imeandikwa na John Mhala, Arusha; Tarehe: 11th October 2010 KIKOSI cha Polisi cha Kutuliza Ghasia (FFU) cha Arusha, kimelazimika kufyatua risasi hewani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
.....Rais Kikwete anamaliza ngwe yake ya miaka mitano ya urais wa Tanzania. Ametawala kwa miaka mitano kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).Ni mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Nikiangalia mambo haya napata wasiwasi kama uchaguzi utakuwa free and fair kwa tafsiri yoyote kwani chama tawala:- 1. Kinatisha wapiga kura kwa kutumia wanajeshi 2. Kimeshatangaza matokeo ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza vyanzo vyangu vya habari ndani ya CCM vimebaini pamoja na CCM kujigamba watashinda kwa kishindo lakini kichinichini wameanza kujadiliana ya kuwa kipimo cha REDET kimeonyesha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom