Sioni alichowahi kufanya huyu raisi anayemaliza muda wake! Amekuwa Mbunge kwa Miaka 15 Kule Chalinze, amekuwa waziri kwenye wizara nyeti, kote alikopitia ameharibu na kushiriki kuweka sahihi...
When I compare synovate and REDET you see no difference, the co- chairman of REDET is one of the advisers of Jakaya Kikwete, you dont expect fair judgment out of the person employed by the...
By KARL LYIMO
Monday, October 12 2009
It sounds a crazy thing to say. But, it is becoming increasingly clear that Tanzania is creeping towards dangerous times as we head for the presidential and...
Send tonday, 10 October 2010 08:32 0diggsdigg
Dk Willibrod Slaa
Joyce Mmasi, Uvinza
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema Dk Willibrod Slaa jana alikumbana na wakati mgumu pale...
wakuu haya siyo maneno yangu ni ya Mwanafalsafa Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa raisi wa kwanza wa Tanganyika huru.
Swali.
Katika wagombea hawa tulionao sasa hivi hasa wa uraisi, ni yupi kati...
Mkurugenzi wa NEC, Rajabu Kiravu.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kuwa matokeo ya Rais yatatangazwa kwenye majimbo badala ya kusubiriwa kutangazwa na NEC...
Mkurugenzi wa NEC, Rajabu...
Asema wanajaribu kutumia ngazi ya maiti za watu kuingia Ikulu
Asisitiza kuwa damu ikianza kumwagika wao watakimbilia Ulaya
Awashutumu ‘wanaochonga' kuwa Tanzania haijapata maendeleo tangu...
Synovate wametoa na wao matokeo ya "opinion poll" waliyofanya kuhusu wagombea wa uraisi 2010. Magazeti mengi yameandika kwa "headings" zinazoashiria kwamba matokeo hayo ni "conclusive". Ila...
watu wakikupigia wasikie nyimbo za chadema kwenye simu yako fuatilia hapa
1. Tigo nenda kwenye sehemu ya kuandika sms andika 12608 au 12609 au 12610 tuma kwenda 15007 au 15050
2.voda nenda...
Wakati zikiwa zimebaki siku 20 kabla ya uchaguzi Oct 31, tuna shuhudia vyama vikiendelea na kampeni zao za kusaka ridhaa kwa wananchi kwa amani na utulivu wa kuridhisha kuliko chaguzi nyingi...
Siku ambayo akina shimbo et al watampigia Slaa saluti kama amiri jeshi mkuu. Siku ambayo jeshi la polisi litafuata amri ya rais mpya. Siku ambayo uwt watakuwa chini ya uongozi mpya. Siku ambayo...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka Watanzania kupuuza ujumbe mfupi wa maneno (sms) unaosambazwa kupitia simu mikononi kuwa ni...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewataka wanajeshi wake, kutoshabikia chama chochote cha siasa na badala yake kuwasikiliza wagombea na kumchagua mtu anayejali maslahi ya nchi.
Kauli hiyo...
Mimi naomba kuuliza Hivi kutokana na hali yakisiasa baada ya uchaghuzi je inahitajika kuwepo na serikali ya kitaifa??endapo pale chama kitashinda kwa ukaribu zaidi yakilichoshinda??ili hata...
Hivi ni kweli watu wote wanaokwenda katika mikutano ya JK wanakwenda kwa ajili ya kumsikiliza mgombea wao au wanakwenda kuwaona wasanii wanaoambatana na mgombea huyo, Jamani mnaokuwa maeneo hayo...
Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo...
"Achana na Dr. Slaa haya ndiyo maisha bora na mkinichagua nitahakikisha kuwa mnajenga nyumba nyingi kama hizi zenye kubeba picha zangu ili mimi, mke wangu, na mwanangu Ridhiwani tuendelee...
Kwa udadisi mwepesi niliofanya kwenye facebook pages za Dr. Willbroad Slaa na ile ya "Dr" Kikwete, mpaka leo (Jpili) Slaa ana fans 11,442 wakati Kikwete ana fans 5019 (Jakaya Mrisho Kikwete for...
Juzi saa tatu usiku kwa saa za Afrika Mashariki nilifanikiwa kutazama mahojiano kati ya mwandishi wa habari wa Televisheni makini ya mlimani na wananchi mbalimbali jijini Dar es Salaam juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.