Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
TAFAKARI CHUKUA HATUA. Je hali inayoelezwa hapo chini ni kweli?. Kuna kitu muhimu kimeachwa hapo chini ambacho kinaathiri maisha ya mtanzania ambaye vitu vingi vinatoka nje, nacho ni kushuka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Chadema wamedai kuwa takwimu za kitaalamu zinaonyesha wapigakura wapo milioni kumi na sita lakini daftari laonyesha milioni kumi na tisa. Hivyo kuna karibu milioni tatu ambazo huenda zimeongezwa...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Kwa kweli mambo yanayofanywa na Kikwete na CCM yake yanazidi kunichefua sana. Nakumbuka huyu JK kupitia kinana walisema hawawezi kushiriki midahalo kwa sababu ya ratiba yao imejaa mpaka siku ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukitafakari uongozi wa JK kisiasa yuko sawa na Mrema, wote wako empty, hamna kitu, hawezi kuongoza chochote.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Dk.Slaa apata wakati mgumu Na Muhibu Said 10th October 2010 Aliyemnadi kwa Chadema akataliwa Aambiwa chaguo ni NCCR-Mageuzi Ni yale yale yaliyomkuta kule Kyela...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nadhani nyote mnafahamu kwamba jamaa aliwahi kusema kawekewa vinasa sauti kule hotel 56 Dodoma.Nilitaka kufahamu nani mmiliki wa Alba Apartments alipokuwa anaishi Dr.Slaa na Josephine na watoto...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Jakaya Kikwete ,akiwa ameketi chini ardhini kwenye vumbi na nyasi ili kumsikiliza Mama Sara Mageni mkazi wa Wilaya ya Makete, wakati...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
I came across this analysis some days back an I thought the home of great thinkers can think about it. Jean-Bertrand Aristide, the prophet of deception Cambridge, Massachusetts - From a distance...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Can CCM tell us why hatuna vitambulisho vya utaifa ambavyo hupewa kila anayefikisha miaka 18? Hivi hii nchi imeenda kwa mbwa? kwanini suala hili halitiliwi maanani kama tuna wapiga kura millioni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu in support of Dr. Slaa I am dedicating this song YES WE CAN done by Cameal Davis feat. Assasin. Download it thru...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika hali ya kuenzi mwalimu JK Nyerere wana Jf inatubidi kuandaa mabango yatakayofikisha ujumbe murua kwa walioshindwa kumenzi Mwalimu kwa vitendo.Wanandugu tusaidieni katika hili. Bango NO...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dalili zinaonyesha ushindi mkubwa kwa Dr Slaa wa Chadema kuwa rais mpya wa Tanzania. Lakini kuna kiza kinene kama matokeo yatakayotangazwa yatafanana na maamuzi ya wananchi katika kura. Je Jaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mama Graca machel alinukuliwa kusema “Tunachanganya, tunapofikiri kuwa kila aliye na madaraka ni kiongozi, hii si sahihi, uongozi unakuja na utu, utaifa na kujali maslahi ya unaowaongoza”...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Thobias Mwanakatwe Mgombea ubunge wa Jimbo la Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe (CCM). Umoja wa vyama 10 vya upinzani katika Jimbo la Mbeya Mjini ambavyo vimemsimamisha mgombea ubunge mmoja...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimesoma mada ninayoiweka kwenye link hapa, ambayo imetulia sana, ikichambua kwa nini kauli ya Shimbo imesababisha majadiliano mazito. Kumbe ni Kikwete pekee ambaye amengangania USHINDI NI LAZIMA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
(Source: RAIA MWEMA NEWSPAPER) ONYO la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na vyombo vingine vya usalama limeibua mjadala mpana na mzito nchini. Ni mjadala unaohusu weledi wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Magazeti ya leo yameandika kwamba JK atahudhuria gemu kati ya Stars na Morocco. Hapo Watanzania tuhesabu kuwa bado timu yetu ina pointi 1 kwa sababu JK ana gundu.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Akiwa na mpambe wake Mwamtum Mahiza, mbele ya wakina mama wa Tabora huyu mama amekuwa akiyarudi kama sehemu ya kuomba kura. Hivi Watanzania tunataka wakata viuno? Matatizo yetu sisi ni nini haswa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba mwenye kukumbuka ile thread tuliyozungumzia mkutano wa Geldof na Kikwete na ile video clip ya Geldof akimsuta Kikwete aiweke hapa kisha Mods futeni thread ikimalizika.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
taswira ya jk namwona jk : anamwagiza shimbo awatishe wananchi anamtumia sheikh yahya kutabiri ushindi wake synovate na redet anawalazimisha kumpikia kura za maoni anavunja sheria ya uchaguzi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom