BAADA ya kulia na propaganda chafu za Chadema, mgombea ubunge katika Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya TLP, Augustino Mrema, amesema anapanga kujibu mapigo kwa kuhamishia nguvu zake katika majimbo...
kwa wale wana jf waliokuwepo na kushuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka 1995,ambapo Mrema alikuwa tishio kubwa kwa CCM,mpaka ikafika wakati baba wa taifa mwalimu Nyerere aliamua kuingilia kati na...
JF na wote,
Nimekuwa tafuatilia kwa makini sana mambo yanayojitokeza ktk JF. Ukweli kabisa ni mambo ambayo Watanzania wote, bila kujali chama, dini, kabila au rangi, waweze kufahamu.
Tatizo...
Mpaka sasa hivi kilaza wetu tendwa amelala vijana wake wanavinja sheria za uchaguzi, huyu tendwa atakuja kuleta vurugu katika uchaguzi unaoendelea.
Leo nimeangalia ITV nikamuana Godbless lema...
Wakuu, mi nilikua nawaza sana kuhusu wagombea ubunge kupita bila kupingwa. Sasa je wakienda bungeni wanawawakilisha CCM au wananchI wote wa majibo husika. Kwa nini tume ya uchaguzi isifikirie nje...
Mafundisho haya yanatoka kwenye kitabu kitakatifu Bible
The Lord saw that the wickedness of man was great in the earth, and that every imagination of the thoughts of his heart was only evil...
A good leader should have basic leadership qualities which includes; ethical principles, self-confident and independent, gender sensitive, envision, widely informed and interested globally acting...
THE MILITARY SHOULD PREPARE TO SALUTE A NEW COMMANDER IN CHIEF
By. M. M. Mwanakijiji
All the armed forces of Tanzania should ready themselves psychologically and instrumentally to...
Wadau katika pitapita zangu ktk mtandao wa tume ya uchaguzi, nimkutana na kitu hiki hapa chini: -
http://www.nec.go.tz/?modules=registration⊂
MTAZAMO WANGU
1: Kwa nini hadi sasa siku 27...
Jana nilipata "network". Nikazungumza na baba yangu mzazi anayeishi kata ambako msafara wa kikwete uliwahi kupigwa mawe.
Nikamuambia mwaka huu tunataka mabadiliko. Aachane na mambo yake ya zamani...
UKITAKA KUJUA KUWA CCM NA SERIKALI YAKE NI WAZEE WA ANASA NENDA KWENYE MIKUTANO YAO YA KAMPENI NA UTAKUTANA NA YAFUATAYO:
MSAFARA WA GARI ZA KIFAHARI,VX,V8
WASANII WA KUKODIWA ILI WAVUTE WATU...
Hivi ndivyo mambo yanavyozidi kunoga. Angalizo ni katika kupiga na kulinda kura tu!
Slaa ampiku JK Kyela
Waahidi kumpa urais yeye, ubunge Mwakyembe
na Janet Josiah...
Kwenu wana JF!
Poleni kwa majukumu mazito ya kuelimisha na kuchangia hoja mbali mbali zenye lengo moja tu la kuelekea kwenye ukombozi wa kweli wa taifa letu baada ya uchaguzi mkuu ujao...
Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imetoa utaratibu wa kutangaza hali ya hatari (state of emergency) kama kuna vita au vurugu ndani ya nchi katika ibara ya 32 (1), (2) na (3). Ni Rais peke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.