ndugu zangu wana jf,ni jana tu nilitoka kumtizama ndugu yangu katika hospitali ya taifa ya muhimbili,ndipo nilishuhudia jambo amalo naliwaza na kuwazua pasipo kuelewa umuhimu wa serikali yetu...
Nimewawekea link hapa chini. Huo umati haujahongwa wala kuzombwa na malori kuja hapo.
Nimependa alivyomchambua Mnadhimu wa jeshi bwana Shimbo
http://www.youtube.com/watch?v=LMNhQKmwWy4
Heshima Mbele wakuu.
Natafakari hili, JK alisaini sheria ya rushwa ya uchaguzi hadharani na kwa mbwembwe sana akitangazia ulimwengu kuwa ana dhamira ya dhati ya kupambana na rushwa katika taifa...
Mi naamini mlio na mapenzi ya dhati na CCM, lazima mnamapepo. Tena mnaongozwa na mchungaji Rwakatale, kama mnabisha njooni glory city kwa baba Gody mfalme hapa Bugando Mwanza awaombee muone kama...
Wakati zimebaki takribani siku 26 hivi, NEC itoe majina ya watu wanao tarajia kupiga kura ili kila mtu siku ya kupiga kura ajipange kwenye eneo sahihi ili kuokoa kupoteza muda.
Hakuna haja ya...
Wanajamvi, hivi ni kwanini Marais wastaafu Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi hawashiriki katika kumpigia kampeni Kikwete???!!!!!, kama sikosei tangu kampeni zimeanza sijawahi kuwasikia katika kushiriki...
Bado ni jambo linaloniumiza kichwa nikitafakari kwa kina ,,,, ukweli ni kwamba tanzania iliyo hai haiwezekani bila kuwa na elimu bora ni wazi ya kwamba inagharimu pesa nyingi ili...
Moja ya sifa waliyonayo baadhi ya viongozi na wanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) ,ni tabia mbaya ya unafiki.
Tabia ya Unafiki ni mbaya na inakera sana ,kwa sababu mtu mnafiki anaweza...
Hapa ni Mwembetogwa Iringa ambapo wazee wa hapa kwa kumbukumbu zao toka kuanza kwa mageuzi haijawahi kukusanyika umati mkubwa namna hii kwenye kampeni.
Pamoja na CCM kuzomba watu kwa malori...
Napenda kutoa uchambuzi wangu kwa watanzania nikiwasihi kutomchagua Jakaya Kikwete na kutoichagua CCM.Kuna sababu 16 zinazohalalisha watanzania kutomchagua Kikwete na CCM,nazo ni;
1.Embu kumbuka...
Wana JF hamdhani ni uzalendo uliotukuka kama watanzania hawamchagua tena KIKWETE kwa kua kazi ile ni mzigo unaohitaji mtu ambaye ana afya imara? Hii itamsaidia kupumzika vema ikizingatiwa kua...
CLICK Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania - 2010 -2015
SERA ZA SLAA ZAZIDI KUWASHIKA MABADILIKO LAZIMA
ASIYEPENDA ELIMU YA BURE ATAKUWA NA MTINDIO WA UBONGO
Je yote yanawezekana
Bado ni jambo linaloniumiza kichwa nikitafakari kwa kina ,,,, ukweli ni kwamba tanzania iliyo hai haiwezekani bila kuwa na elimu bora ni wazi ya kwamba inagharimu...
He, hii kali nimeipata leo! Swahiba wangu aliye katika gazeti dada la Uhuru Mzalendo la kila wiki, kanieleza kuwa kulikuwa na mpango, takriban wiki mbili zilizopita, wa kuanzisha kura ya maoni...
Je, ni sahihi kwa vifaa vya kupigia kura kusambazwa na JWTZ? Kama Lt. Gen. Shimbo ndio anatishia namna hii, hivyo vifaa vitakapofika kwenye vituo vya kupigia kura tutakuwa na imani navyo kweli?
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Lindi mjini,kwa tiketi ya CCM, Bw, Mohamedi Abdullaziz amewakatisha tamaa wakazi wake, baada ya kuwaeleza bila ya aibu kuwa Serikali haina mpango wa kuboresha bandari...
Nakuja tena kwenye jamvi kama ifuatavyo.
Kuna haja ya kujadili sote uwezekano wa kuwatumia wanazuoni ambao haki yao ya kuchagua imechakachuliwa na wachakachuaji. Lakini vijana hawa wanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.