Dr. Slaa ametuelimisha vya kutosha umuhimu wa kufanya mabadiliko ya uongozi wanchi ili kulikomboa kiuchumi, kijamii na kiuongozi taifa la Tanzania.
Mimi binafsi nimemuelewa sana na tayari...
mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
Mvutano mkubwa uliibuka jana kati ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chama...
Jiang Alipo, 4th October 2010
POLITICS and journalism are two professions that can never be separated. The difficulty of figuring out which of the two cant live without the other is close to...
Pamoja na sababu kem kem ambazo ccm wametupa za kukinyima kura .Hii ni nyingine
Conservative Party - UK Parliamentary General Election
Total Expenditure £17,852,240.75
Number of constituencies...
Nilitishwa nakusikia hili Onyo la Mnadhimu mkuu limenitia wasiwasi sana kuona jeshi la wananchi JWTZ linatoa tamko kali kama hili hapa linaacha maswali mengi hasa kwa nchi ya amani naona kama vili...
Wandugu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya uchaguzi. Plz mchango...
Jamani naitafuta makala hii ya Jenerali Ulimwengu. Ilitoka katika jarida la Rai ikiwa na sehemu kama tatu au nne. Ilikuwa ni barua ndefu fulani ikielezea jinsi Ulimwengu alivyomfahamu Jakaya...
SAKATA la Jossephini na Dk. Slaa, leo jioni limemfanya Makamu Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Benno Malisa kuzomewa hapa Geita wakati akimnadi ubunge wa CCM jimbo la Geita Donard Max...
Napigisha kura ya maoni kuhusu mwelekeo wa wapiga kura. Naomba wale TU waliojiandikisha kupiga kura na wameshaamua kuwa watapiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, 2010 kujibu. Tafadhali...
Habari zilizoandikwa na Frederick Katulanda wa Gazeti la mwananchi zinasema.
ZOMEA zomea kwenye mikutano ya kampeni ya CCM jana ilimgeukia mpigadebe aliyejaribu kuingiza masuala ya maisha...
WanaJF: Tumeingia ngwe ya pili ya kampeni na sasa tunaona jinsi shujaa wetu, mkombozi wetu, Dr W. Slaa alivyoanza kutumia ile mitutu mingine katika mashambulizi yake kwa kikundi cha kifisadi...
Its part of challeng but very interesting....!!!
Hii mada ni kwa mawazo yangu ikiwa ni kutoa upupu na matongotongo yaliyokuwepo kwenye mada yenye kichwa kama hiki iliyotolewa na majjid mjengwa...
Jamani nasikia leo Dr. Slaa alikuwa Kyela, sasa wadau wa Kyela hebu tujulisheni kilichojiri japo kwa ufupi
KAMPENI KWA SIMU ZA MIKONONI NI ZAIDI YA KAMPENI ZA SHUKA KWA SHUKA ZA SALMA...
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Dr. Willibrod Slaa amesema umasikini wa watanzania hauwezi kuondolewa kwakuwanunulia Bajaji (Pikipiki ya matairi matatu) iliyotolewa naJakaya Kikwete kwa...
Endapo hakutakuwa na mgombea wa Urais ambaye amepata kura zaidi ya asilimia hamsini basi wagombea wawili waliopata kura nyingi zaidi wataenda kwenye mzunguko wa pili ndani ya siku arobaini baada...
Ndugu wanajf
Mambo mengine yanayoyasikika na kushuhudiwa kwa macho kuhusu uchaguzi mkuu wa 2010, yanastahili kupewa jina moja tu VITUKO VYA UCHAGUZI kwani naamini kuwa huwa ni nadra sana...
Nimehudhuria Kampeni za kikwete leo hapa Dodoma katika uwanja wa jamuhuri. Mkutano ulianza kwa wanamuziki mbali mbali kutumbuiza na wananchi wakawa wanashangilia sana.
Baada ya muda kupita Mgombea...
Mimi nikiwa ni mmoja wa watu ninaye penda sana Burdani, nimegundua chama kina uwezo wa kuvunja taratibu za kampeni bila kufokewa na Msajiri wa Vyama vya siaasa wala Tume ya Taifa ya uchaguzi...
Badala ya kuenzi siku hii kwa kusikiliza hotuba zisizo na mashiko toka kwa wasioenzi ya wanayemuenzi nashauri mwaka huu siku hii itumike kuweka mikakati thabiti ya kuhakikisha mabadiliko ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.