Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimatumaini yangu wote wazima kwamba nyote mmesikia kwamba chama cha maendeleo na demokrasia CHADEMA kimemwekea pingamizi mombea wa urais kupitia chama cha mapinduzi CCM Mh;Rais wa Tanzania Jakaya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilipofunga kompyuta yangu asubuhi leo ili nishughulikie mambo binafsi yanayoniletea kipato, nilikuwa nimechangia kwa ufupi topic kwamba "Watanzania si Mabwege" any more. Mhe. Kinana alikuwa...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Jamani naomba kuuliza, katika katiba yetu Tanzania ni viongozi wapi wanastahili kusindikizwa na vimurimuri (Motorcade) . Katika siku za hivi karibuni ninaona kama kuna magari mengi sana yakiwemo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikuwepo kwenye mkutano wa cuf bkb.maandamano kwenda uhuru yalikuwa na pikipiki 8 na magari 4.mkutano ulikuwa na watu kama 50 tu.kifupi ccm b wamefulia.ngoja aibu ya mwaka watakosa mbunge hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Asilimia 99.95 ya wakazi wa Zanzibar wanasubiri siku ya kuapishwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Raisi kiongozi wa Zanzibar mpya(New Zanzibar).Habari za ndani zinasema kuwa uhakika wa ushindi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mambo yametokea hapa JF katika wiki hizi chache ambayo yamewafanya watawala washtuke kidogo. Ndio wamekuwa wakishtushwa na yanayoendelea lakini haya makubwa matatu yamefanya kutoa ushauri wa...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
WAKATI tukielekea katika Mkutano wa 17 wa Bunge unaoanza keshokutwa Jumenne Oktoba 26, 2009, tujikumbushe yaliyojiri Mkutano wa Kumi na Saba miezi michache iloyopita haswa Agosti mosi, 2009 siku...
0 Reactions
86 Replies
9K Views
Enzi za CCM ya Nyerere Lowasa, Mramba na wenzao wangetimuliwaSalim Said na Hashim Gulana CHAMA Cha Mapinduzi kingekuwa na nidhamu yake ya zamani watuhumiwa wote wa ufisadi pamoja na wabunge...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wiki moja kabla ya kifo cha Wangwe habari ziliingia kwa njia ya sms zikiwa na ujumbe uliokuwa unamaudhui yafuatayo "tumempoteza mpambanaji mwenzetu Zitto"! Ujumbe huo ulikuwa ni kutaarifu juu ya...
0 Reactions
202 Replies
24K Views
Foreign firm operates illegally for ten years By Costantine Sebastian THE CITIZEN A Norwegian engineering consultancy company has done business in the country illegally for nearly a...
0 Reactions
102 Replies
15K Views
2008-07-02 09:46:16 Na Simon Mhina Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Freeman Mbowe, amedai kwamba kinachotokea sasa hivi ndani ya CHADEMA ni mpango maalum wa kukiua...
0 Reactions
156 Replies
15K Views
GOVERNMENT AGENCY PICKS HIGHEST BID IN MULTI-BILLION SHILLING CONTRACT, RESULTING INTO A LOSS OF MORE THAN 20BN/- TO TAXPAYERS WHEN it comes to the government's agency responsible for the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwenye jimbo langu, vyama vingine pia vina wagombea, lakini baada ya kikao cha NEC nilisafiri kidogo nje ya nchi nimerudi sasa na kukuta wansambaza habari kuwa nahojiwa na TAKUKURU!! uongo kabisa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Napenda kuona CHADEMA wakati huu wa kampeni ikiwakumbusha wananchi umuhimu wa kupiga kura na kuhakikisha kura zao zinaehesabiwa kwa yule mgombea wao waliyemchagua. Hii itahitaji CHADEMA kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zinakuja kwenye wire ni kuwa, mgawanyiko ndani ya ccm unaendelea kufutuka na sasa ngoma ndo mwanzo inaanza. Kwa waliodhani kuwa zile kashfa zote za kumweka Kikwete ikulu mwaka 2005 zilikufa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani kuna kitu kimoja kinakera sana katika mambo haya ya kampeni- kuona vyombo vya habari vikiwa biased bila hata kuficha. Channel Ten nawauliza swali, je mmeamua kuwa makada wa CCM na kuacha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hili hasa ndilo waliokuwa wanastahiki kuambiwa hawa jamaa zetu kwa muda mrefu. sasa ni juuu yao kumeza au kutema. Makamba: Viongozi Chadema wana akili ndogo CHAMA Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
:help: Wakuu, lets refresh our minds after considering deeply issues concerning our nation. Naomba msaada wenu kama kuna anayeweza kusimulia japo kwa ufupi tamthiliya ya Hidden Passion. Nasikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Inaonekana Tume ya Uchaguzi kwa sababu wanazozifahamu wameamua kutoa tafsiri mpya kwa maana ya kampeni ya Uchaguzi. Ninavyoelewa mimi kufanya kampeni ni kujinadi kwa wapiga kura kwa nini...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom