Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Siku ya Ijumaa CUF walifanya mkutano wao wa uzinduzi wa kampeni pale Kidongo Chekundu maeneo ya Gerezani jijini Dar. Jee hii ni kutokana na kupungukiwa wafuasi na kuona kuwa kule Jangwani...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
What is going on kwenye mind ya Mgombea urais wao na kampeni team yao plus Makamba? Kwa mshangao wanaoupata baada ya kugundua kuwa umma umewageuka namna hii....!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuesday, 31 August 2010 Geofrey Nyang'oro KADA wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando ametamba kuitikisa CCM na serikali yake kwa hatua yake ya kuwahusisha viongozi wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Marando alipowataja Kikwete, Mkapa na Lowasa na Rostam kuwa ndo wahusija wakuu ktk wizi wa EPA, Makamba, Tido Mhando na watangazaji wa TBC wakatwambia Marando na Chadema wanatukana. Zitto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamanii...hii siasa ya bongo... ina demokrsia ya kweli....hizi ni kampen huru???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika taarifa ya habari ya jana usiku, Redio One walikuwa na habari kuwa waziri mkuu Mizengo Pinda aliungana na wananchi wa mkoa wa Rukwa kulalamika kwa Rais Kikwete juu ya ukosefu wa soko la...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Marando amemtuhumu Kikwete akishirikiana na Rostam Aziz na Edward Lowassa ndio waliokwenda kwa Mkapa kuomba ile pesa ya EPA. Si Kikwete, wala marafiki zake RA na EL waliojitokeza kukanusha tuhuma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa nafuatilia kwa makini taarifa za habari za Tv mbalimbali tangu kampeni zimeanza na nimeona yafuatayo. MLIMANI TV, Hii ndio Tv pekee ambayo imeonekana kuwa fair kwa vyama vyote na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
''CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeibomoa ngome ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mbeya Vijijini baada kuvuna wanachama 367 na viongozi saba wa chama akiwemo katibu wake wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu kwenye blogs..nilikutana na swali au maoni yaloandikwa na mmoja wa wadau na yanasomeka hivi: "Ninagusia suala moja tu, 'agizo' la Raisi kwa Wakala. Nawaza na kujiuliza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani nimeamini kuwa naweza siasa, hasa siasa za Tanzania. Tatizo langu ni moja tu! MTU WA KUNIANDIKIA HOTUBA ZANGU! Kama humu ndani ku yeyote anayeweza kuandika hotuba zenye mvuto kama za JK...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama Mwalimu nyerere angekuwa raisi wa Tanzania leo hii je angeogopa mdahalo na wapinzani? kama Kikwete?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
naam leteni habari, kama kweli nyie chama makini mbona jamaaa wameamua kuachia mchuma? chadema kelele na mbio zao ziko humu tu lkn kule hamna lolote zaidi ya hayo aliosema kada wenu Kikwete...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi: Kitendawili? Jamii Forum: Tega. Nitajie sekta moja, mfumo mmoja na ofisi moja ya umma inayofanya kazi yake kwa umakini. Iwe ni ile ambayo mtu yeyote, wa hali yoyote na kutoka popote...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
HIVI HUYU JAMAA NA OBAMA NANI ANA PERSONALITY YA KI PRESIDENTIAL KULIKO MWINGINE????????
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CCM imeshindwa kukomboa makontena mengi yenye khanga, tshirt, vitambaa, kofia na mabango. Baada ya TRA kukataa katakata kuyatoa hadi yalipiwe kodi. Kila mkoa ulipangiwa kupewa makontena mawili ya...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Chadema kimesema kitaishangaza dunia kutokana na matokeo ya kura za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu kwa kushinda kwa kishindo katika nafasi zote. Aidha, chama hicho kimesema kinatarajia...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wote mnaelewa kwamba kwa sasa JK HAFANYI KAMPENI, bali anafanya ziara, akielezea nini "serikali yake" imefanya kwa muda wa miaka tano. Baada ya kuondoka, kilichojiri ni .... Polisi watishia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
JK na watu wa sirikali yako esp. CCM, mbona mkija huku ughaibuni mnaishia DC tu na tukiwaalika mje Houston, mnakacha. Lakini mkialikwa Minneapolis, NY, CA etc mnaenda. Tumeujulisha ubalozi wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Picha na maelezo kwa Hisani ya blog za Michuzi na Michuzi Jr: Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dr. Willbrod Slaa akizungumza leo jioni wakati wa uzinduzi wa...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Back
Top Bottom