Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Inaelekea kuwa ccm inafanya juu chini kukwamisha ujumbe wa kumkomboa Mtanzania kufika vijijini. Natumaini kuwa sote ambao tu wazalendo na tunaelewa ni kitu gani kinachoondelea, tuna ndugu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
DAWATI LA HATUDANGANYIKI limepokea taarifa za kuaminika kutoka vyanzo vyake kuwa kuwa mara tu baada ya mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CHADEMA, siku ya Jumamosi tarehe 28 Agosti 2010 wakuu wa...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
clich DVD za majadiliano Video:Kongomano – Umoja wa kitaifa (GNU) | MZALENDO.NET
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Is Education a priority in the elections in October?
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Nimegundua kuwa humu kuna washabiki wengi sana wa siasa, wakereketwa nk. Je wewe ni kati ya wapi hao? unaweza kujibu uongo au ukweli, japo ukeli hupendeza zaidi, au ukajipa jibu mwenyewe halafu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu, Jana tulikuwa na mchakato wa kura za maoni jimboni kwetu. Tulikuwa wagombea wawili katika chama chetu. Nimefanikiwa kushinda kura za maoni kwa kishindo na kumuangausha mpinzani wangu...
0 Reactions
419 Replies
31K Views
Hali imekuwa ngumu upande wa Mzee Makamba baada ya wananchi wa Bumbuli kumkataa mwanae Januari Makamba na kumuunga mkono mtu mwingine katika nafasi ya ubunge. Mzee Makamba amepagawishwa na taarifa...
0 Reactions
188 Replies
16K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekwepa kumwekea pingamizi mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete, kama kilivyoahidi na badala yake kimepeleka malalamiko kwa Msajili wa Vyama vya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Jakaya Kikwete ametoa mpya na kali ya mwaka baada ya kuahidi kutoa babaj 400 nchi nzima kusaidia akina mama wajawazito mara wanapapatwa na uchungu na kuhitaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika pitia pitia zangu katika blogu ya Issa Michuzi (MICHUZI) nimekutana na hii habari; "HOJA BINAFSI KUHUSU MALALAMIKO YA KAMPENI ZA UCHAGUZI KWA GLOBU YA JAMII KUA GLOBU YA JAMII...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba ndugu zangu mlio CCM mnipe good convincing arguments za kukipa Chama chenu kura yangu kwa miaka 5 ijayo.... Sitaki paragraph nyingi. Ningependa unandike kwa point. mfano: 1. Tumekamata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi aliyetunga hivi vitu yupo hai?. * Binadamu wote ni Sawa * Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake * Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habarini bandugu, nilipenda kujua kitu kimoja, juzi siku ya jumapili nilikuwa maeneo ya mwananyamala kituoni nasubiri daladala kuelekea stesheni nikaona vijana wadogo wako kikundi kama 30 hivi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wilbrod Slaa ni mkali wa kufichua udhalimu na uchafu wa viongozi na wafanyabiashara mbalimbali. Je ni nani anayempa mabomu na vithibitisho hivyo, hadi wanaolipuliwa wanaogopa kumpeleka mahakamani?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama kweli Rais Kikwete amefanya mengi mazuri , hadi kupigiwa chapuo la kupewa tena uongozi wa juu wa Taifa hili, mi najiuliza gharama zote hizi wanazotumia za nini ?nayatizama mabango njiani hapa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Safu ya uongozi wa chadema imabase upande mmoja,si sura ya Muungano kabisa,ni ya upande wa Tanganyika tu, Mwenyekiti ( Mbowe )-Tanganyika, M/Mwenyekiti ( Arif )-Tanganyika, Katibu mkuu ( Slaa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu Sana, Hivi kubandika haya mabango barabarani koote JK akiwa na mama yake,mababu,sijui na nani tena ni kampeni kweli au show off?....nimekereka
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tulipeana onyo kuhusu kutoingiza maisha binafsi ya mtu na kampeni za uchaguzi wa mwaka huu ktk ngazi yoyote ile,tulitoa rai pia hata kwa vyombo vya habari vyenye mtazamo wa kuandika maisha binafsi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom